@afande.msike: Kwahiyo kwa upande wangu Mimi nipo tayari kuihubiri hata kwenu ninyi mnaokaa Siha Kwa maana siionei haya Injiri kwasababu ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa Kila aaminiye kwa myahudi kwanza na myunani pia

Afande Msike
Afande Msike
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 16:06:41 GMT
125949
10926
727
373

Music

Download

Comments

twelve.tv7
FARAJA YA MOYO ♥️ :
hakika mimi ndio mara ya kwanza kumuona Askari Tanzania mwenye Anahubiri ubarikiwe sana
2026-06-08 07:31:00
245
mtu_imara255
Bruno  :
IGP AJAYE IN MIGHT NAME OF JESUS
2026-06-08 06:11:10
147
nownowtz
Glory to Glory :
great work
2026-06-08 18:24:52
0
jkazimya
Jackson Kazimya :
Mungu akupandishe vyeo vyako kutoka hapo Inspecta ukafikie CHEO CHA JUU CHA MWISHO. Amina
2026-06-08 12:17:36
37
tito.mbise6
Tito mbise :
Nimefurahi sana tunaitaji watu kama ww kwaajili ya taifa letu.
2026-06-08 05:20:08
42
user5722842742943
Rey❤️🔥 :
wote wangekuwa kama hivi baba🙌🙌🙌🙌
2026-06-08 08:58:21
45
alice40961
Alice :
barikiwa sana mtumishi wa mungu maombi Yako yamenibaliki asubui hii
2026-06-08 05:50:12
35
boniphacejumanne7
Boniphace Jumanne :
ukisikia roho ya mungu mwili wa serikali ndy hii
2026-06-08 15:48:47
8
officialsirgody
SirgodyTz :
Mungu wa majeshi akubariki afande🫡
2026-06-08 08:10:40
12
elizabethmahenge84
mo phones :
Mungu akuinulie uso wake nakukufadhiri
2026-06-08 12:47:58
5
user4122423910994
user4122423910994 :
umenitia nguvu afande loooo
2026-06-08 12:38:28
7
esta46125
ma zawadi :
mungu akubarik sana afande wangu umefanyika faraja kwawengine🙏🙏🙏
2026-06-08 06:15:22
16
catherinengwema
catma_lady :
Amina Mungu akubarikii 🙏♥️
2026-06-08 12:21:15
2
252589king
Mr king👑 👑 :
kazi nzuri mungu akubariki
2026-06-08 05:21:28
5
user1345052098803
user1345052098803 :
we askari wa tofauti sana mungu akubariki sana
2026-06-08 07:30:39
5
princesschristia12
princesschristia12 :
Ooooh hallelujah 😇
2026-06-08 17:59:49
0
user31315385822604
veronica :
barkiwa san
2026-06-08 17:52:13
0
coconut.tree845
coconut tree :
great bro jar bless you
2026-06-08 17:04:54
0
jimm0247
jimm :
hii ni Ai au kweli jamani
2026-06-08 08:50:21
7
tumbotumbo2
Zab 23:1 :
Umenifanya nimrudie tena YESU WANGU, ubarikiwe sana🙏
2026-06-08 06:12:15
9
jasti.ayubu
jasti ayubu :
Mungu akuinue kaka kwa kuliunua jina la Yesu🙏
2026-06-08 07:31:27
5
nashoni89
nashoni :
ubarikiwe sana MUNGU akutuze
2026-06-08 07:53:22
7
user1931701261216
sabrina :
Daah! barikiwa Sana mtumishi Wa Mungu! Mungu akuonekanie Na azid Kukupa hekima Na maarifa ktk kaz yako🙏🙏🙏
2026-06-08 07:57:44
5
jeremiameshackibr
JEREMIA MESHACK IBRAHIMU :
ubarikiwe mtumishi
2026-06-08 22:07:35
0
benowden
Benowden :
mungu akuongoze askari wa Yesu
2026-06-08 22:12:53
0
To see more videos from user @afande.msike, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About