@goldness2021: ✍🏻Watu wengi wanaamini shida yao ni kutopata pesa za kutosha...Ukweli ni kwamba watu wengi hupata pesa, lakini wanashindwa kuzisimamia. EPUKA MAKOSA HAYA 5 1️⃣Kutumia pesa bila mpango Ukikosa bajeti, pesa zako zitakutawala badala ya wewe kuzitawala. Kila shilingi isiyoipatia kazi mapema huwa na tabia ya kupotea bila kujua imeenda wapi. Weka plan 2️⃣Huna akiba hata kidogo Watu wengi husubiri wabakiwe na pesa ndipo waweke akiba. Ukweli ni kwamba matajiri wengi huanza kwa kuweka akiba kwanza, halafu wanatumia kilichobaki. Akiba si kiasi cha pesa ulicho nacho, ni tabia uliyojenga. Usitumie yote.. 3️⃣Kuiga maisha ya watu wengine Kuna watu wanaonekana wanaishi maisha makubwa mitandaoni, lakini nyuma ya pazia wana madeni makubwa kuliko mali walizonazo. Usiishi ili kuwafurahisha watu; ishi ili kujenga maisha yako ya baadaye. 4️⃣Unakopa kwa vitu visivyozalisha Kukopa simu mpya, nguo za gharama au starehe ni kuhamisha furaha ya leo na kuleta maumivu ya kesho. Deni zuri ni lile linalokuongezea kipato, si linalokupunguzia uhuru. Ulikuwa Unajua Ukweli Huu? 5️⃣Huwekezi kwenye maarifa Uwekezaji wenye faida mkubwa kuliko yote ni maarifa. Kitabu kimoja, kozi moja au ujuzi mmoja unaweza kubadilisha kipato chako kwa miaka mingi zaidi kuliko pesa yoyote unayotumia leo. Tenga muda wa kuongeza maarifa Ukiweza kudhibiti tabia zako za matumizi, hata pesa ndogo zinaweza kujenga utajiri mkubwa kwa muda. Ni kosa lipi kati ya haya 5 unaona watu wengi wanalifanya siku hizi? Na lipi unahitaji msaada wa kulimaliza? Andika kwenye maoni na ushare post hii ili kuwasaidia wengine kujifunza. Follow ukurasa huu kwa elimu ya fedha, biashara na mbinu za kuongeza kipato kila siku. Share ujumbe huu kwa watu wengine ili kuweza kuepuka haya 📌Kama unatamani kuanza biashara na haujui uanzie wapi na una mtaji mdogo wa kuanzia sh. 500,000/- mpaka 2M sasaivi Tuma ujumbe wa neno BIASHARA kwenda whatsap namba +25.57.521.023.44…. Nikupe muongozo usikubali 2026 nayo iishe bila kuanza biashara #networkmarketing #coachmary #success #business #growth
Coach Mary🇹🇿
Region: TZ
Monday 01 June 2026 17:32:39 GMT
Music
Download
Comments
David handsome :
ahsant madam Kwa ushauli
2026-06-03 13:27:25
1
kongotolo :
m
2026-06-04 10:46:21
0
Josephine :
🥰🥰thankx
2026-06-03 19:38:13
0
user7211659580358 :
nakukubali sana sstr na Toka nimeanza kukufatilia nimeanza kuona mabadiliko kweny maisha yang
2026-06-04 06:33:41
0
amani noya :
Hii kazi nikama mungu amekubariki kipajihicho kutusaidia sisi vijana wenzako hongera sana 🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🍎🇹🇿
2026-06-01 21:13:03
1
Amani ❤️🩹 :
1 ndio me
2026-06-03 18:51:21
0
winchi boy :
madam mimi
2026-06-02 13:31:06
1
amani noya :
Mami🥰🥰🥰🥰🙏
2026-06-01 20:35:16
1
Mkwizu Jr🤍🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
1,&²
2026-06-01 19:11:50
1
FRANK DICKSON :
saw saw
2026-06-01 19:33:17
1
Fadhila Mponda :
❤️❤️❤️
2026-06-02 17:53:17
0
dotto :
🙏🙏
2026-06-04 15:40:15
0
To see more videos from user @goldness2021, please go to the Tikwm
homepage.