@coolnews24hrs: Alikuwa akibaki na kipa, hawezi kumuacha salama kabisa! Huyu ndiye 'Super Mario' Balotelli, mtu hatari zaidi mbele ya lango. Kwenye siku yake bora, huyu jamaa alikuwa hajawahi kuwa na simile na makipa. Anapokea ile pasi ya mwisho (master pass), anamtazama kipa machoni, kisha anaiweka wavuni kwa utulivu wa hali ya juu uliochanganyika na dharau flani ya kisoka. Hakika vipaji kama hivi vimebaki kuwa historia adimu sana uwanjani!" 🎯⚽🔥 Follow @coolnews24hrs ⚽🙏🏆 Kwa mahitaji ya vifaa vyote vya michezo na jezi kali printing jers n.k wacheki hawa 👇 @mu_sports_store ✅ @cocobeautysaloon 🔥🙌 #fyp #supermario #viral #videos

Cool news 24hrs 🇺🇸🇹🇿🇰🇪
Cool news 24hrs 🇺🇸🇹🇿🇰🇪
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 17:54:39 GMT
7912
355
1
3

Music

Download

Comments

master.peace75
Master Peace✌️ :
super mario mkali
2026-06-01 21:44:56
0
To see more videos from user @coolnews24hrs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About