Enzi za uhai wangu hizi shughuli nilikua napenda sana😂😂
2026-06-02 07:16:06
189
Avelina tz :
huu wimbo WA Nani jamani
2026-06-02 08:22:22
11
d.j.joph :
ngoja nicomment ili zifike comments 100😂,,
2026-06-02 17:53:33
8
He_is_Êxtrōvërtéd :
iv wasukuma wanajikuta ni akina nani...?
2026-06-21 06:39:02
6
Adam Joseph 45 code :
Mmmmmmmh
2026-06-16 22:46:00
1
dogo zombi 45😎 :
mwanzaaaa ap🥰🥰
2026-07-04 11:39:39
1
anitha :
jaamn mumenikumbusha mbali🥰🥰🥰🥰
2026-06-02 08:59:28
6
🍀~EDIT$BOY~🍀 :
Wanavyo luka kama maisha yangu 😂😂😂
2026-07-15 15:43:15
1
bahat :
wasukuma tujuaneee
2026-06-27 14:52:20
2
Recho Mussa :
Wametisha san
2026-07-04 08:48:34
2
user6763295777268 :
watolaga Nan?
2026-06-28 20:48:56
0
fatuma+255 :
daaaa waoooo
2026-06-27 16:55:58
1
ma, Queen :
humu tu
2026-07-05 15:44:09
0
7nja🦋 :
wasukuma Tujuane😊
2026-06-28 20:03:40
3
slim girl🍀❤️ :
sitaki kuwaongelea sana nimepitia hii stage bila mimi shuhuri yako haiendi mjini kama sipo nauliziwa mjuu wa mzee saibaba yuko wapi hata kama sijajifunza stepu naenda kuperform mamaee 😂😂😂
2026-07-24 01:29:40
1
joyce lubanji :
enzi hizo jamani turikuwa tunabaruza bas
2026-06-02 09:15:43
7
Jeremiah Joseph :
jamna mkoa ngani huko jamn
2026-06-14 17:59:30
5
annesta :
nawapenda sana wasukuma
2026-06-03 08:41:44
4
petro nchenche 600 :
kazi nzuri sana ndugu zangu pamoja sana
2026-06-07 15:57:56
4
$ H ! J £ r🇺🇸 :
Hii C ni warming up😂😂
2026-06-02 11:07:28
2
lovely :
vilikuwa vitu vyangu kabsa enzi hizo😁
2026-06-26 13:25:54
1
To see more videos from user @kituladalali, please go to the Tikwm
homepage.