Aaaaaah mashallah
Ila kaka kasome kwanza naona kuna vitu unaongea kama hujasoma
Vya hovyo sanaa
2026-06-02 04:41:06
23
bah rain :
wallah makhuraf mnashida dini sio akili zetu bali ni dalili dini sii yetu ni ya allah akili zenu mumezifungia sehemu moja
2026-06-02 04:40:20
16
ABUASIA_ASALFY :
ndug ujasoma aisee duh ila nishajua inatafuta umaarufu alf ijaasoma
2026-06-11 18:05:37
2
Key Mo :
masha ALLAH maalim nimekuelewa sana ALLAH akulipe kheri ndugu yangu
2026-06-03 04:29:00
7
Yusuph Selemani :
Allah akuhifadhi mwalm uzidi kuelimisha watu walio potea
2026-06-17 21:01:57
3
yaksu :
Uko sawa Sanaa Ma shaa Allah
2026-06-02 09:45:26
5
Sadick salum Issa :
wallah makhurafi wanapitia wakat mgum sana wanajaribu kutoloka ukweri
2026-06-25 11:48:09
2
msomaly :
Allah amuhifadhi sheikh abulkhatwaab abdallah bin humeid
2026-06-24 12:33:47
4
Ibnu Ramly :
maahaAllah mashaAllah Allah akuhfadhy akhii
2026-06-04 20:03:53
3
mbatikali :
makhurafi na wanaojiita TWARIKA hawataki Aya za mungu maranyingi hutumia akili zao na hawajielewiii
2026-06-02 06:58:26
3
Ahmad Ribaat :
ما شاء الله بارك الله فيك يا أخي الكريم العزيز
2026-06-01 21:05:20
3
AlQaryout Matrafi :
Tawheed Al Rubuubiyah ,Uluhiyah naAsmaau waswifat ni utendakazi wa waja kwa Mola wao.Mfano mdogo, Zimekusanyika zote kwenye Suratul Fatiha" الحمد لله رب العالمي،
إياك نعبد وإياك نستعين، الرحمن الرحيم
2026-06-12 17:44:01
3
abudi hassan :
Asante sana kutu nyooshea Hawa watu jamani hadi raha 🥰🥰🥰allah akujalie maïsha marefu mwalimu, na kheri nyingi.