@mtakigamba: Elimu kuhusu QLED, ULED, na MiniLED. 📺 Unapochagua TV, majina haya yanaweza kuonekana magumu. Hapa kuna tofauti zake kwa lugha rahisi. • QLED hutumia teknolojia ya Quantum Dot kutoa rangi nyingi zaidi na picha angavu zaidi. • ULED ni teknolojia ya Hisense inayoboresha rangi, contrast, mwangaza, na ubora wa picha kwa ujumla. • MiniLED hutumia maelfu ya taa ndogo nyuma ya skrini ili kutoa black nyeusi zaidi, mwangaza mkubwa zaidi, na detail bora kwenye picha. Kwa kifupi: QLED = Rangi bora zaidi. ULED = Picha bora zaidi kwa ujumla. MiniLED = Contrast na mwangaza wa kiwango cha juu zaidi. Tembelea Mars Communications ujionee tofauti ya teknolojia hizi kwa macho yako. Contact: +255678307738 +255694000400
Mtaki Gamba
Region: TZ
Tuesday 02 June 2026 04:24:05 GMT
Music
Download
Comments
Romekah :
🥱 Nilinunua baada ya Miez 10 ika zima kumbe warranty ilikuwa ya miezi 9
mpaka leo iko mdani tu
2026-06-02 10:08:33
1
LINDA KIDOTI :
QLED inch 43 4k how much
2026-07-20 13:35:08
0
deebo :
unauzj bos
2026-06-14 06:05:31
0
emmy😍😊 :
😂😂😂
2026-07-17 07:24:10
0
To see more videos from user @mtakigamba, please go to the Tikwm
homepage.