@tanzania.indelibl: ​Hakuna tukio la kiasili linalosisimua duniani kama Ushuhuda wa Nyumbu na Pundamilia wakivuka mito kwa mapambano na ujasiri mkubwa! Huu ni msimu wa Great Migration, na safari yetu maalum inaanza rasmi tarehe 10 Julai 2026! ​Usikubali kusimuliwa wakati unaweza kushuhudia maajabu haya mubashara na Tanzania Indelible Adventure. ​🛏️ Nafasi za malazi (Hostel & Budget) zinawahi kujaa msimu huu wa peak! Wahi sasa kuweka nafasi yako na kundi lako. 📩 DM au tupigie sasa hivi kupata mchanganuo mzima wa ratiba na bei! +255767735030 ​#TanzaniaIndelibleAdventure #Serengeti #GreatMigration #VisitTanzania #Safari2026

Tanzania indelible Adventure
Tanzania indelible Adventure
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 June 2026 06:30:57 GMT
1768
71
1
7

Music

Download

Comments

shafiq.osbert
SHAFIQ 🇺🇬 OSBERT :
👏👏👏
2026-06-07 04:53:53
0
To see more videos from user @tanzania.indelibl, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About