@shoshhack1: Nywele ndefu, laini na zenye kung’aa kwa siri rahisi 🥚✨ Paka yai kwa nywele zako, acha dakika chache… utashangaa na matokeo! 🔥 Jaribu leo uniambie umeona tofauti gani 👇 #HairGrowth #NaturalRemedy #BeautyTips #NyweleNzuri
The Shosh🌿
Region: QA
Tuesday 02 June 2026 08:18:04 GMT
Music
Download
Comments
#nice*one*only :
asante bibi nakupenda 💓💓💓
2026-06-02 08:21:34
4
shiro njeri❤️ :
alafu nywele yangu inakatika sana
2026-06-15 17:16:06
2
melanin gal :
adi yenye dawa
2026-06-14 19:05:47
1
malaika :
asnte bibi
2026-06-14 16:53:13
1
maman Jeanne :
merci maman
2026-06-14 10:52:27
1
tumesala :
@7
2026-06-17 17:42:08
1
Karesma Temba :
asante bibi
2026-06-02 09:47:20
1
zainasuleyman4 :
Asante mamiy
2026-06-17 22:00:36
0
user4747335832768 :
Alf nywele yangu ni nyepesi, Sasa nitafanyaje ikue mingi na ngumu
2026-06-08 12:08:40
1
Tabby :
Nakumbuka nikiwa msichana tulikuwa tunachanganya yai na avocado tuna paka halafu tunaosha tuna paka mafuta ya kupika Kimbo ya karatasi tunatoboa mkebe tunaeka makaa moto tunablowdry nywele wakati wa kristmasi 🥰🥰🥰
2026-06-14 17:11:41
1
Lusia Seni :
asante
2026-06-15 09:09:03
0
Gabriela Justine :
shosho nywele inayolatika mbele tupake nini
2026-06-17 11:43:55
0
IAm WHO IAm. :
waoh❤️
2026-06-06 10:26:47
1
janeth gilbert :
sawa
2026-06-18 08:58:47
0
Grace Charles :
yai la kienyeji ama lolote tuuu mama🙏
2026-06-17 10:37:16
0
user6009955159249 :
na white hair unaweka nini
2026-06-05 10:38:22
1
Shushu wa twana :
unapaka yai yote ama hiyo ya yellow tu
2026-06-14 15:44:39
0
Amour jb :
na boys wenye tuna nywele fupi
2026-06-05 13:38:57
0
Aznat Hussein :
ukivunja unalipig au!
2026-06-19 15:13:19
1
Fasmah :
na ka una mba je hutumie nn
2026-06-03 09:34:57
0
Karegi 254 :
na kama unanywele ya white
2026-06-05 16:08:37
0
Ferdinand Leroy :
👌adi pia maboy😂
2026-06-02 09:08:21
1
Wa Eva :
🥰🥰🥰
2026-06-02 08:26:47
1
kayla :
🥰🥰
2026-06-02 18:59:18
1
Shack Bebe :
@Nasra Ismail
2026-06-03 05:06:13
1
To see more videos from user @shoshhack1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.