@paulkessy26: #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #fyp #comedia

保罗·凯西🫡
保罗·凯西🫡
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 June 2026 11:01:45 GMT
9900
285
8
63

Music

Download

Comments

sudipongwa
Sudi Pongwa :
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi na sijui kitu wowote.
2026-06-06 14:13:08
0
user7347230313868
tendeni ibada :
🤣
2026-06-02 19:46:07
0
To see more videos from user @paulkessy26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About