kuna watu huwa wajikuta wameugusa kwenye situation ya kuwa katikati ya watu wengi lakin ukiwa pekeyako si rahisi kama ukiwa umetulia ni Sawa na wale wanaocheza fouls kwenye box sio wote huwa wanakusudia lakin tuta linawekwa kah hizi Sheria nazo
2026-06-04 03:55:54
1
Aem@ ltd :
sheria namba ngapi hizo za FIFA
2026-06-02 21:53:27
1
$$$ :
we jamaa big up sana unajua
2026-06-03 11:53:14
1
Abdul Kareem Omary :
nimesoma comments kumbe wote hamjui sheria 17 za soccer ni hivi ... mpira ukidunda kisha uende kugusa mkono ndani ya box sio penalty na mpira unaoshuka kutoka juu ukigusa mkono ndani ya box sio penalty Mpira unao unaohesanika penalty ni ule wa wakupigwa kimo cha mtu kisha kumkuta mtu katanua mikono (mwili)ndani ya box
2026-06-04 19:50:43
0
maro0104 :
mpira ulianza kugonga kifua
2026-06-04 16:25:54
1
Sports Spirt :
vip kuhusu Ile ya bayan na psg kama uliiona?
2026-06-05 14:50:08
0
whsfinnest :
SOMA RULES
2026-06-04 07:32:40
0
Muddy Nation :
wote tunajua hii ingekuwa imetokea upande wa PSG....Arsenal wangepewa Penati🔊🔊🔊🔊
2026-06-05 15:24:45
0
johakim9 :
kisicho ridhki hakiliki brother 😂 PSG hiyo ni ridhki Yao tu
2026-06-04 11:41:39
0
Carron👊 :
Sasa kumbe psg walikuwa wanategemea watapata mseleleko
2026-06-04 14:05:50
0
Withs :
Wale wanaruka header mikono juu tena mpira unawapita unarud bado yuko juuu na kanyanyua mkono ukimgisa mikono wanafunika kvp kwa Saka wasifunike??
2026-06-04 17:10:52
0
#DMS :
Ili iwe penalty lazim mpora uwe umepigwa na opponent player na mtu kaweka mkono as an obstacle sas mpira alipiga saka na ivo penalty hawawezi pea aseno sheria iko ivo
2026-06-03 20:33:49
0
Judo kid :
sahihi
2026-06-03 14:15:02
0
jthan_now :
hiyo sababu ya pili naweza kuielewa lakini hiyo ya kugusa Kwa mkonon Kwa makusudi hapana hivi kweli kuna mtu anaweza kutoa mpira Kwa makusudi akiwa pekeyake kweli me naona hyo Sheria wangesema akiugusa akiwa pekeyake ila Kwa makusudi hapana
2026-06-04 03:53:25
1
$$$ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu nana kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu...MKANIFOLLOW 😭🙏🙏AU NIENDE MOMBASA
2026-06-03 11:52:59
0
To see more videos from user @dree_football, please go to the Tikwm
homepage.