@jesushealingcente: Karibu sana kwenye ibada zetu za wiki nzima JUMATANO Saa 10:00 jioni - 11:30 jioni IJUMAA Saa 10:00 jioni - 11:30 jioni JUMAPILI Saa 1:00 asubuh mpaka saa 6 mchana Tuna ratiba nzuri sana ya MORNING GLORY kila siku ya wiki kuanzia Saa 12:00 asubuhi - saa 1:00 asubuh (TUNAANZA SIKU NA BWANA ) KILA IJUMAA PIA NI SIKU YA MKESHA WA MAOMBI KARIBU SANA #2026Mwaka_wa_Kumuheshimisha_Mungu #JESUSHEALINGCENTER #SONGEA