na maisha ya sasa kama kijana pambana sana umtengenezee mwanao maisha na njia sahihi
2026-06-02 13:45:32
43
user8665033812129 :
haswaaaa
2026-06-03 08:05:34
7
DANIEL®️ :
Ongeza sautiiiiiiiiiiiii
2026-06-03 18:55:32
7
kemidollar_ :
Upo sahihi ila iyo kauli uliyo itumia et umekuwa kiMungu Mungu.ata matajiri pia wanakua KiMungu Mungu hakuna mwanadamu anaye jimudu ku survive kwa akili yake au nguvu zake mwenyewe
2026-06-04 12:35:24
0
James Mosess535 kyala ghundule :
volume 🎤🎤🎤
2026-06-03 13:28:35
1
Robert Kawiche :
hakika
2026-06-03 14:55:07
3
TCROCHETS.CO :
yani 😂
2026-06-03 14:34:28
3
user9981432627542 :
kabisa
2026-06-04 01:55:22
0
Berry cosmetics :
Shda wanatudharau tunaojitafuta wakat yeye kapewa hajapambana we are not the same
2026-06-02 13:14:24
9
Caster Mabere :
watu wanapenda kuona watu wanateseka😂
2026-06-02 13:32:45
21
asamsharkh_tz :
kuna Jamaa yangu Jana Tu alikuwa anashindana na mwingine kuhusu kuteseka
2026-06-02 16:47:55
13
DUKANIACCESSORIES :
Bongo kuwa na shida sana huwa ni sifa😁
2026-06-03 09:06:00
7
kasisi 🔨🔨 :
kuna watu wanaona sifa kuteseka ani mtu asipoteseka wanafikir sio mkamilifu na hajiwezi lkn binadamu wa kawaida ni vema tuone kawaida ama furaha mema yanapotokea kwa watu wengine
2026-06-03 04:43:37
4
Tinestor3. :
hii ndio Bongo😂😁.
2026-06-02 15:16:07
0
user6887091763374 :
watu wengi roho mbaya
2026-06-03 14:11:12
0
Ob_raw :
Mzee wa TikTok🤣🤣🤣
2026-06-03 17:34:28
0
Lavish Irene :
Nmechekaaa 😂😂🤣
2026-06-03 18:39:08
0
mfinanga_garden_hall :
💯
2026-06-03 16:55:33
1
it's halua :
😂😂😂😂
2026-06-03 00:12:29
1
Irene :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-03 17:21:25
0
Denilson9 :
😂😂😂
2026-06-03 16:01:15
0
shopping_tz :
😂😂😂💔
2026-06-03 16:01:53
0
To see more videos from user @bongoads, please go to the Tikwm
homepage.