Ata kama nina roho mbaya namuomba mwenyenzi mungu asinifikishe huku kwa uwezo wake
2026-06-03 06:20:44
51
Glory voluntary :
me naona yupo sahihi bnaa😂
2026-06-03 01:30:20
173
Subrah😍 :
We are proud of that lady 💋
2026-06-03 17:41:38
34
P@mejog :
😂😂😂 tufanye yote ila mm siwez acha nnaempenda ateseke 🖐️😂
2026-06-03 13:38:32
91
Nanah🖇️🦋💙 :
Siwez acha mtu naye mpenda atesekee pesa zinatafutwa tu🙌
2026-06-04 11:20:18
22
Janeti Samu757 :
mimi namwambia tena hela yote
2026-06-03 05:19:48
64
Pablo zungu :
usimuamini mwanamke
2026-06-02 21:38:19
67
man_leo :
Et verry nice man Tatizo mnataka kuonekana gentle
2026-06-02 21:49:39
53
Msomali_OG :
Kwa ufahamu wangu pesa yangu ni yangu na Mke wangu na yake ni yake. Kama anapesa kama hio kuniambia ataniumiza kwa wakati huo ni bora tutafute namna ya kutatua changamoto na tujue inagharimshingapi Kisha atengeneze sinerior ya kupata fedha mahali ili tusorve situation. Pesa yake ni yake yeye ni wangu na wanaepia ila fedha yake ni choice yake anipe au asinipe that's has regualdless situations. (Ataishi within my means PERIOD)
2026-06-03 07:41:13
45
Primo og🦂 :
Wanawake ni wabinafsi sana tena Sanaa Ila sasa ukikaa vibaya kibao hutugeukia sisi, Ila ni wabinafsi mnooo ningekuwa najua kingereza ningeandika kwa kingereza kila mtu anielewe Ila ni wabinafsi mnooo. 🙌🏽
2026-06-03 09:16:26
36
tricy Rommy :
😔😔 mmh, namshukuru Mungu nimejifunza kwa mama yangu ....hata akiwa na 500 huwa ana mwambia baba
2026-06-04 17:02:42
7
yasserkhalfan25 :
wanawake ni wabinafsi sana
2026-06-03 09:32:10
13
P..E..T..E..R847 :
2mwachie mungu
2026-06-04 05:12:48
6
Elizabeth26L :
Nina million 100 Hana pesa =hatuna pesa
2026-06-03 13:43:11
4
light💔 seffa :
Mimi ningemwambiaa lakin nisinge sema kiasi chote walau Ata million kumi na Tano tuu
2026-06-03 05:01:24
50
Sam :
hii inatia hasira sana kuiangalia, hakika imenipandikiza roho ngumu sana.
2026-06-03 06:59:56
10
Dr. Karim :
wanawake wakikosa ela wanahitaji mwanaume mwenye hela ila wakipata hela wanadhani kuwa hawahitaji mwanaume tena. 🥺🥺
2026-06-03 04:17:23
24
Badman Cala :
Hawa ndo Baba Levo alikuwa anawasema , imagine
2026-06-03 17:58:29
7
Real dady :
aisee mtafuteni baba levo..
2026-06-03 04:21:09
12
Rajaaah :
nimepata hasira hadi natetemeka😁😁
2026-06-03 05:48:52
9
To see more videos from user @mkakabeatz, please go to the Tikwm
homepage.