@mr_it_thereal_hucking_:

MR IT
MR IT
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 June 2026 13:36:45 GMT
193403
4624
244
1186

Music

Download

Comments

janewilliamu
Jane :
marehemu anasema alifariki😊
2026-06-03 04:23:46
107
hasantreagv
hasanar :
Kumbe kufufuka kupo live kabisa 😂
2026-06-03 04:15:10
100
user5738547744860
FATIMA :
hiiiii moviee🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-10 19:21:30
0
user8002470413816
baby zay🥰 :
kwaiyo marehem ndo alio ojiiwa akasema ni rifariki daaah dunia Ina mambo iii
2026-06-03 03:18:33
74
yasinta.malando1
yasimali💕 :
Mungu fanya kama ulivyofanya kwa huyu mama yangu arudi
2026-06-03 10:31:57
90
mjengi20
EMMANUEL MJENGI :
amefufukiaa wapii
2026-06-03 04:41:09
12
salma.love494
Salma love♥️ :
jmniii na mm mamaang arud uwiii 😭😭
2026-06-03 09:01:23
16
angelshangoma
m mpenz💓💞 :
kumbe kigoma bas camera man zima zima
2026-06-03 08:07:20
9
bimpole0
Fatma 😘 :
Dunia inakwenda walai
2026-06-02 21:44:26
14
linaee45
Shop with linah✅ :
Mungu Fanya hii maajabu Baba angu arudi jmn🥹
2026-06-03 10:43:27
10
joemie777
JOEMIE :
Munirudishiye piya mamayangu
2026-06-03 06:46:35
9
mwajabupila
Mwajabu Pila :
jamani dunia imeisha
2026-06-03 07:46:16
7
user8693197390956
user8693197390956 :
siamini
2026-06-03 18:28:48
1
user258830098104
Mrs Hassan :
Hizi ni dalili za kiama wallah😭😭
2026-06-03 08:54:14
4
shuuwag1
shuuwag1 :
Mungu fanya kwa mamaangu 😭
2026-06-03 10:41:00
4
pedeshee28
Pedeshee 😄😄 :
Aibu utaona ww 😂
2026-06-03 18:04:02
3
nassir192
Nassir :
Kama Mtume wake Mmungu hakurudi hadi leo mtuache nyie
2026-06-09 13:33:42
2
user25631420157154
grace laurent :
mm naaminig mama atarudi jamanii sijui kwann
2026-06-03 14:09:44
2
zuuh.money
zuuh money :
Me nataman hata mama yang arud jaman nasemaga au hajafa😭
2026-06-03 18:24:01
2
young_chemchem
abdallah ally matani :
Sio kweli
2026-06-07 17:27:02
1
go.elga7
ELGA :
wa ongo nyiye
2026-06-03 15:39:09
0
malaikazulu
Mama boy and girl dr malaika :
eeeeh mungu arudi na mama yangu jamni nitafurah kuliko nilivyowah kufurah maishan mwangu
2026-06-03 12:54:22
2
To see more videos from user @mr_it_thereal_hucking_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About