sure njooni mniulize mim hapa nilipostiwa tuu na rafiki yangu kilichotea 😅Sifa na Utukufu narudisha kwa Mungu 😂😂
2026-07-10 17:42:05
0
yusufu master :
5000
2026-07-07 20:16:37
0
Cijo Madirisha :
Ndio ilivokuwa kwa mke wangu. mimi nilimtaka rafiki yake. yeye akajibu eti ana mtu wake. ikabidi badae nisikose chochote kitu nikamuoa yeye. mke wangu alinikatiri pakubwa sana. mimi nilikuwa nampenda shoga ake
2026-07-09 12:52:15
1
Tellaaxis :
au sio😂
2026-06-02 18:02:04
2
xba089 :
watoenamba😂
2026-07-10 15:54:33
0
To see more videos from user @wingempiredigital, please go to the Tikwm
homepage.