@unicentretechnology: 🔹 Tunashukuru kwa: ✅ Kuzungumza ukweli kuhusu ubora wa laptops na desktops zetu ✅ Kushiriki uzoefu wenu mzuri kwa wateja wengine ✅ Kutupa mapendekezo ya kuboresha huduma zetu 💡 Mrejesho wenu unasaidia sio tu kuimarisha bidhaa zetu, bali pia kupanua huduma zetu na kuhakikisha kila mteja anapata thamani kamili ya kile anachonunua. Tunaahidi kuendelea kuwa duru ya kuaminika kwenu, na kuhakikisha kila bidhaa, kifaa na huduma tunazotoa zinakidhi matarajio yenu. 🙏 Asanteni sana kwa kutuamini na kuwa sehemu ya familia yetu ya wateja! Tunathamini kila mmoja wenu na tunatarajia kuendelea kukuhudumia kwa ubora zaidi siku zote. *UNICENTRE TECHNOLOGY* Tunapatikana Dar Es Salaam, Ubungo Mawasiliano Bus Stand Panaitwa (simu2000). Tuko opposite(Mkabala) na geti lakuingilia mawasiliano stand. Karibu sana! *Call* Mobile!:📱 0716341064 Office☎️ 0683262866 #ThankYou #CustomerAppreciation #HPComputers #TechForLife #CustomerFeedback /