@ramadhan_hemed: kutoka hatua ya kwanza hadi muonekano wa mwisho! ⚒️✨️ Hivi ndivyo umakini wa Ramsey Building Decoration tunavyo acha alama kwenye mjengo wako. Hatulazimishi mistari, tuna nyoosha kwa rula na vipimo sahihi ili urembo wa nje ( molding ) huduma milele unajenga na unataka nyumba yako iwe na muonekano wa kisasa na wa kipekee ? Achana na kazi za kubahatisha, mcheki mtaalam sasa hivi 📞 Tupigie / whatsApp 0686791592 Ramsey Building Decoration sisi tunasafisha na kupendezesha mjengo wako #urembowanyumba #mafundi #daressalaam #houseconstruction #jenganasi