@iran_attack: farhankihamu_jr "Iran sio nchi ambayo sisi Viongozi wa juu wa Kijeshi tutoe maelekezo huku tumejificha hapana sisi tunatoa maelekezo na tupo mbele kwenye mstari wa vita ndio kazi ya Kiongozi sio kuogopa kufa utawapaje hasira Askari kupambana? Hii vita yetu dhidi ya Israel na Marekani niseme General Esmail Qaani atakaa mbele amesema amemaliza kazi yake kwa Hamas, Hezbollah na Houthi hivyo ni muda wa kuja hadharani ataongoza vita pia nasikia wanajadili sana kuhusu Uranium yetu yaani tuwe na Mahandaki ya Kilometa zaidi ya 20,000 halafu waje tuwape kilo 400? Ili ziende wapi?" Brigadier General Morteza Ghorbani, Mshauri wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Iran less

Iran_attack
Iran_attack
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 June 2026 21:04:19 GMT
4291
106
2
1

Music

Download

Comments

user1225302100080
user1225302100080 :
❤️❤️🤲🤲🫶🏝🇹🇿☝️☝️
2026-06-02 21:31:40
3
mister.srk
Mister Srk :
🥰
2026-06-03 14:39:03
0
To see more videos from user @iran_attack, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About