@bintikiula_cosmetics: Siri ya ngozi yenye mng’ao wa asili, laini na yenye afya Lotion hii ni mchanganyiko wa viambato bora vinavyosaidi. 🥕Kung’arisha ngozi taratibu bila kuichosha 🥕Kusawazisha rangi ya ngozi (face & body) 🥕kufanya ngozi iwe laini, nyororo na yenye unyevunyevu wa kudumu 🌟Tumia kila siku uone tofauti ya ngozi yako iking’aa kwa afya#Bintikiula_cosmetics #0623202314