@witney_mory: #trending #tiktok 🙏🙏

Angel moret
Angel moret
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 02 June 2026 22:37:20 GMT
57412
3090
87
167

Music

Download

Comments

pinklove582
.☘︎ ݁˖𝑀𝓈.𝓅𝒾𝓃𝓀 🎀༘⋆ :
Ndoto ya kila mama lakini maisha hayataki 🤣🤣
2026-06-03 11:27:53
28
qeenchiksaloo
QEENCHK :
Kuna kuzaa na kujifungua bint. Umejua kujifungua hongera mwaya.
2026-06-03 12:53:39
11
millcent68
millcenthume :
munguu akutunze kipenzi
2026-07-11 13:15:25
2
aim_merry
M🎀🎀 :
nataman ila nitafany nn, mwanang vumilia🥺🥺
2026-06-04 15:22:05
5
loveness3072
Loveness :
One day 🥰
2026-06-03 08:12:53
8
marrydaudi4
Merrydaudi3 :
I’m happy for you my love 🥰🥰👏
2026-06-03 18:45:31
2
gracious2935820786583
Gracious :
dogo anamiliki mamilion ndan ya nyumba ya wazaz wake daahhhh😁😁😁😁😁 hongera kwa baba chanja🥰🥰🥰
2026-06-04 07:11:29
2
bianca_beautycare
bianca_beautycare :
Awww🥰😘
2026-06-04 11:58:30
1
zainabu.matanza
Zainabu Matanza :
hongera
2026-07-05 13:40:33
1
annagrace399
annagrace Novath :
Vyote nilimuhaidi mwanangu lkn baada ya kumzaa nimeambua tu beseni la kumuogeshea sina hata mia ya nguo 🥲🤲
2026-06-05 06:47:33
2
warda.shaibu.naly
Mrs Amii🦋 :
kitanda cha mtoto umenunua bei gn kipenz
2026-06-19 18:46:32
1
herrieth.sebuleze
Baby mama herrieth😍🥰 :
ndoto yangu bado niko usingizini
2026-06-10 09:06:03
1
nipha4134
Nipha🥰 :
Hongera mama ❤️🥰
2026-06-03 10:54:52
1
millan85324
millan😍 :
allah akukuzie dada
2026-06-04 13:02:13
1
user454191655466
EMMY 🥑🍍 JOVANNES :
hongeraaaah my sster
2026-06-04 10:23:53
1
doris.skalengo
Doris skalengo :
Nguo za mtoto unanunua wp kipenziii???
2026-06-04 18:50:35
0
janethmahuchani
Miss..Jane❤️-❤️🙂 :
Hongera new mama🥰🥰
2026-06-04 09:49:11
1
cesi.paul
CESY🖤 :
hongeraa mwaya🥰
2026-06-04 10:23:57
1
emmysmartkids
EMMY SMART KIDS :
Boss wangu 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-03 08:56:34
1
umy.haykal
🦋mimah🥰 :
InshaAllah eh Mungu nipe uwezo wa kumuandalia mwanang kam hivi😌🤲
2026-06-04 15:45:16
0
second.born173
second born ❤️ 😍 💖 :
daaah mtoto kaja leo na leo leo anamilika Vito vya thaman🥺🥺 ila haya maisha daaah😂😂
2026-06-05 13:04:52
0
msgai5
Ms gai :
dogo ana mwezi anamiliki vitu vya thamani vikiambatana na afya njela alafu kuna mimi sina kitu zaidi ya samsung ya mkopo😳😳😳
2026-06-03 22:30:32
1
faudhia.wickama
faudhia wickama :
Kuna nyie Alaf Kuna sisi tunaozaa bila mpangilio Alaf tunafka tunajifngua tunarudi nyumbn kawaida kama vile haujatoka leba😅😅😅
2026-06-04 09:13:22
2
ney.4.really
Ney 4 Really :
kuna wanaume wanajielewa bwana. siyo hao wengine ukimwambia una mimba anakwambia toa siko tayari kwa sasa 😭😭😭
2026-06-04 06:53:25
1
user9455345512616
lrene philipo :
wengen mung mmemupa nin jmn mbon wengine tunakosa ivy mung
2026-06-03 11:06:20
2
To see more videos from user @witney_mory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About