@bene.maria.srs: NOVENA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU ♥️♥️♥️
SIKU YA 1 💞💞💞💞 SALA
Ee Yesu wangu, ulisema, “Amini nawaambia, ombeni nanyi mtapata, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa,” tazama nabisha, natafuta naomba neema ya
(taja ombi lako hapa...)
Baba Yetu x1
Salamu Maria x1
Utukuzwe Baba x1
Moyo Mtakatifu wa Yesu, nakuwekea imani yangu yote.
Ee Yesu wangu, ulisema, “Amini nawaambia, chochote mtakachomwomba Baba kwa Jina langu, atawapa,” tazama, kwa Jina lako namuomba Baba neema ya
(taja ombi lako hapa...)
Baba Yetu x1
Salamu Maria x1
Atukuzwe Baba x1
Moyo Mtakatifu wa Yesu, nakuwekea imani yangu yote.
Ee Yesu wangu, ulisema, “Amini nawaambia, mbingu na nchi vitapita, lakini maneno yangu hayatatoweka,” tazama mimi, nikitiwa moyo kwa maneno yako yasiyokosea,
sasa naomba neema ya
(taja ombi lako hapa...)
Baba Yetu x1
Salamu Maria x1
Atukuzwe Baba x1
Moyo Mtakatifu wa Yesu, nakuwekea imani yangu yote.
Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, ambaye kwako haiwezekani kutohurumia walio katika taabu, utuhurumie sisi wakosefu masikini na utupe neema tunayoomba kwako, kupitia Moyo wa Mama Maria ulio na Huruma na usio na Doa, Mama yako mpole na mama yetu. Amina #religious #novena #mothermaryprayforus #catholictiktok #tafakar
BENE MARIA SRS
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 02:24:51 GMT
Music
Download
Comments
user1853407172876 :
mungu nakutumainiya
2026-06-04 09:33:43
4
victoria anthony :
ee mwoyo mtakatifu unihurumie mm na familia yangu,pia uniepushie baya lolote lililolengwa kwa ajili ya familia yangu
2026-06-04 12:38:54
2
semavika💋 :
moyo Mtakatifu wa Yesu unihurumie Mimi na dunia nzima
2026-06-03 20:45:49
2
yasinta ke :
moyo mtakatifu wayesu utuhulumie
2026-06-04 08:17:20
1
eliaEliapenda Pessa :
amina🙏🙏🙏
2026-06-03 14:26:52
1
Silla bray :
Moyo Mtakatifu wa Yesu Naomba Uniepushe na mabaya mimi na family yangu🙏🙏
2026-06-04 20:43:06
2
crispin :
Ee mungu usikie sautiyangu ulisema utasikia kilimo chetu naomba usikie kilimo changu kwa sauti yangu usinitupe Wala usiniache ee mungu wa wokobu wangu
2026-06-05 12:33:51
1
Treasures Mushi :
Mungu naomb Kibali niwez kusali novel hii
2026-06-03 18:24:54
0
Amida Chuwa :
Mungu naomba afya nihudhurie novena hii
2026-06-03 16:12:01
0
budodi neema@123 :
ameen
2026-06-03 14:01:16
0
Kina :
Mungu hashindwi
2026-06-03 23:40:42
0
Bridgeette Temu :
Mungu sikia kuomba kwangu, moyo wangu hauwezi, nihurumie
2026-06-03 19:36:02
0
soleter 💓 lovely :
mungu nijalie kila hitaji la moyo wangu
2026-06-04 09:07:01
0
Glorious Fashion :
ameena
2026-06-03 14:56:19
1
Getruda Daudi :
amina
2026-06-03 09:26:14
0
Jesus Beloved 😍 :
Aminaaa
2026-06-03 13:20:51
0
chiku :
Amina
2026-06-03 12:20:50
0
user1853407172876 :
munguwangu,niteteye babayangu
2026-06-04 09:21:42
0
gloria kavira :
mungu sikiliza kiliyo changu
2026-06-03 20:21:45
1
Alice Lukoo :
Mwenyezi mungu naomba aja ya moyo wangu
2026-06-03 19:52:08
0
winimukama :
Amina
2026-06-06 11:14:02
0
user7521458102885 :
Moyo mtakatiifu wa Yesu unijalie haja za moyo wangu🤲🙏
2026-06-06 01:26:40
0
CealeBahati :
moyo mtakatifu wa yesu utuombee
2026-06-06 05:16:22
0
charlinemasika593 :
ee bwana wangu na mungu wangu
2026-06-06 00:26:43
0
Getu 😘😘 :
Amina amina amina🙏🙏🙏🙏
2026-06-03 08:09:16
0
To see more videos from user @bene.maria.srs, please go to the Tikwm
homepage.