@wachimajiwavisima: 💧 JAYAN DRILLING SOLUTION 💧 Je, unahitaji kisima cha maji safi na cha uhakika kwa matumizi ya nyumbani, shambani, taasisi au biashara? Tunatoa huduma za: ✅ Uchimbaji wa visima virefu vya maji ✅ Utafiti wa maji chini ya ardhi ✅ Ufungaji wa pampu za maji ✅ Upimaji wa visima ✅ Ushauri wa kitaalamu kuhusu miradi ya maji Kwa huduma bora, za haraka na zenye viwango vya juu, wasiliana nasi leo. 📞 0625 003 003 📞 0756 003 009 📍 Ofisi zetu: Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma JAYAN DRILLING SOLUTION – Tunachimba, Maji Yanapatikana! #TunachimbaMajiTunajengaMaisha #JayanDrillingSolution #WaterIsLife #tzdrilling #maji