KAKA HII KAULI ME KIKWELI INANIKWAZA MPAKE LEO KULALA NYUMBANI SIWEZ NIMEPANGA NIKIWA MDOGO SANA
2026-06-03 11:19:33
35
mzululaji3 :
tumempinga ila jamaa kaongea fact sana nisisi ndio tunashindwa kuendeleza chain ya utajiri kwasababu ya uelewa wetu wa africa, wazungu wakitoka hua hawarudi nyuma kwasababu wanainuana
2026-06-03 09:26:02
18
GMAS :
hahahaha hiyo hutokana na mzazi kukosa mali wazazi waliona mali hawafukuzi watoto wana juwa watoto ndio watendaji wa hizo mali baadae
2026-06-03 12:05:48
8
ngowa_medical_tools :
Sisi wachaga tuachee tuuuu
2026-06-03 11:50:30
5
The promise 👑 :
Kwelii kabisaa mkuu
2026-06-03 11:49:18
8
DIVO😎 :
Waarabu 💪💪
2026-06-03 13:47:35
3
Liamsany_ :
50/50🔥
2026-06-03 10:59:02
3
goldenleestrendz :
😁😁😁Izi kauli zilinifanya nilipomaliza chuo sikurudi nyumbani,,,,nilkua naambiwa ukishindwa shule utarudi apa ufanye kazi za ndani😁😁😁ilaaaa
2026-06-03 19:27:56
4
Its~~cynthia🥀🍂 :
hilo neno ni baya ila Kuna namna Fulani inatuboost kutafuta maisha yaani Kuna watu wasipoambiwa kauli ngumu au kufukuzwa nyumbani hawatafanya chochote wala kujisogeza Kwa lolote 😅
2026-06-03 19:30:10
9
agripamusic :
I am Jose Mourinho,
If I say anything I'll be in big......😅
2026-06-05 17:33:30
0
Tinajojo :
uko sahh lkn unakuta familia utokayo hawana kitu wanachotegemea kilimo msimu had msimu na kwa bahati mbaya mazao ni machache kifupi yanajitosheleza chakula au wakati mwingine yasitoshe unafikir huyo mtt wa hyo familia ataacha kuambiwa ategemee elimu au akikua ajitafutie?sababu nyumbani hakuna cha kurithi.
2026-06-03 17:11:11
3
ZOLO 17@#🤟 :
kweli bro
2026-06-03 11:18:10
1
Willy wise :
Fact
2026-06-03 09:49:04
3
SmileGee Tz🌸 :
Fact 🫶 fact 👍🥰
2026-06-05 09:54:06
1
PAINKILLER 💊 💧 :
Ntafanyaj mwanangu ajichagulie baba
2026-06-08 18:10:28
1
🅝🅐🅝🅓🅞🅢 :
Tatizo mazoea kak 😅, kwa sisi wabongo ukisha mzoesha mtoto kwamba kuna urithi ataacha kupambana
2026-06-03 16:18:11
2
Rentechstore :
Family as a Teamwork 💯
2026-06-03 15:57:48
0
rasta_teeloo :
Nashukuru Mungu hayo malezi yamenifanya kuwa imara na kujipambania kujitegemea 🙏🙏🙏🙏🙏
ishu sio kubaki ishu kupishana upande wa maamuzi maana wazee wetu wengine changamoto na ubishi.
2026-06-07 11:59:19
0
FIRSTBORN ✨️ :
Nashuru MUNGU hayo malezi kuwa imara najipambania na kujitegemea mwenye na sina haja na chamtu asanteeeh Baba angu mzazi kwa haya malezi na wala sitakuja kumlaum kabisa MUNGU amubariki kwa yote 🙏
2026-07-19 15:51:11
0
EMPIRE THE KING 🇹🇿🇿🇲👑 :
that's true bro
2026-06-03 18:19:29
0
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.