@tevar_demas: jinsi ya kuepuka umaskini kwenye maisha yako. ✍️|| Usisahau kufollow ukurasa huu Facebook: @tevar_demas Instagram: @tevar_demas TikTok: @tevar_demas #successmindset #creatorsearchinsights #Motivation #tiktokviral #joelnanaukamotivationaltalks

Tevar Demas
Tevar Demas
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 06:40:46 GMT
66400
4453
52
716

Music

Download

Comments

similtone609
similtone609 :
huyu anaeongea sio tajiri naomba npewe hi elimu na bakhresa
2026-07-29 07:10:46
1
siddocajoux
Siddo818 :
Umasikini ni kutotumia vzr unachokipata? unatujia na tafsiri za kwenye makaratasi. Kuna mtu anapata hela buku 3000 kwa siku, niambie huyu anatumiaje vzr anachokipata
2026-06-04 12:52:13
13
ommy_martial.tz
🆂🆃🅰🆅🅾20⚽️🎮🇹🇿 :
hii elimu ya nadharia huwez kuiset kwny maisha yetu halis
2026-07-27 21:26:46
2
user1925085381398
Msumal aloyce :
uko sahihi hata mimi nimeiona sana,nahao nio wanaongoza kwa kuwasema wanao budgete pesa zao.
2026-06-03 14:21:31
3
nicklove014
nicklove014 :
huyu ndo mwalim sasa
2026-06-03 10:34:00
9
upepo.stephano
Upepo Stephano :
mimi Nina 28 yrs ila nataka semina ya walio staafu ili nijue walikosea wapi
2026-06-27 15:43:25
5
prohumanity80
Pro-humanity :
hyo laki 5 familia ya wstu 8 unapangaje
2026-06-08 20:55:34
2
chars.bray
Chars Bray :
Broo kama ni budget....ucngekimbilia bungeni ..uendelee na budget yko huko huko..., lkn naamini umeona bajet yko haitoshi umekimbilia bungeni , swala sio budget... huwezi kubajet kwenye hakuna!!! Huwezi kumlaumu mfanyakazi ...coz mfanyakazi anapangiwa na serikali alipwe kiasi gani haijalishi uchumi uko juu ama umeshuka!! ukumkuta mfanyakazi wa serikali ni tajiri mchunguze vzr huyo ni mwizi !!
2026-07-30 06:28:55
0
maryamu018
maryamu :
Kbsa
2026-07-05 06:52:42
1
user8855838163705
willie :
kama hauna hauna tu lakin sio ishu ya kutumia though kuna point lakin kuna watu wanatumia vbaya ila kwasababu wanavyo vingi hata haiwaathiri kabisa
2026-06-20 10:47:04
2
frankogucha988
Frank Ogucha :
very true sir Joel much love from Kenya
2026-07-13 19:26:55
0
muntazy.4
kofia za oman :
maskini na bajeti kwel wakuu?
2026-07-18 08:12:13
0
bestsalvatory993
bestsalvatory993 :
suala la kula lipo kama system.., unalipigiaje hesabu?
2026-06-14 19:04:24
0
mohamedikavemba
Kavemba De Last Born :
content kubwa xana muheshimiwa
2026-06-08 20:37:34
2
salum2316
salum :
Uko sahihi kaka
2026-06-07 10:32:50
1
aminabintbushir
aminabint bushir :
ushauri wako umenifunua macho
2026-07-23 06:50:20
0
farhyas.grandma
farhya,s grandma :
Asante baba tushachelewa xaxa😭😭
2026-06-08 18:01:04
1
ibrah.anyimike
Ibrah.anyimike :
kweli kk
2026-06-03 16:41:07
2
tinah.elias06
TINAH ELIAS :
Bigap sana
2026-06-18 06:10:49
0
user5262341308242
Thomas :
salute 🫡
2026-06-14 21:32:26
0
gabrielkimwi810
Gabriel Kimwi :
ok
2026-06-04 17:23:33
2
burchard_pro
Victor Burchard :
Nanauka ana akili kubwa sana
2026-06-09 07:12:27
2
user3347102424836
Peters Braille Press TZ :
Kwanini hawa wanaotufundisha sisi ambao baadhi yetu wanatuita sisi maskini wanatuomba pesa? nal
2026-07-04 16:23:36
1
mr.harao
HARAO MEDIA :
nguo kwa mwezi au miaka 2🤣🤣🤣
2026-06-17 17:19:53
1
ayubukivuyo1
Ayubu Kivuyo115 :
Acha kujifanya hujui level of depency katika jamii za kiafrika
2026-07-12 12:38:30
0
To see more videos from user @tevar_demas, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About