@vigourhealth: Replying to @rosemarykidiro #tibaasili #asili #tibambadala #tibaasilitibambadala🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿

VIGOUR MEDICS🌿🩺
VIGOUR MEDICS🌿🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 06:41:41 GMT
17621
527
14
91

Music

Download

Comments

mariam.stephano483
Mariam Stephano :
Dawa ya kupunguza usingizi dokta nalala sanaa jmn
2026-07-22 19:07:22
2
yash_liii
King of all "J" :
Mimi nataka nisipate usingizi mala kwa mala ntaka nikeshe
2026-07-25 22:04:05
0
fetinyo45
Fetinyo🍁🦋 :
Mjamzito anatumia
2026-06-03 07:54:33
2
rosemarykidiro1
rosemarykidiro :
asante
2026-06-07 13:52:54
0
la941211
lily :
mimi nasumbuliwa na globus sensation ya muda mrefu.. nisaidie please
2026-06-03 07:35:38
0
iam..cattoh
iamcattoh66 :
hii inasaidia kutopata maumivu ya tumbo? period time
2026-06-04 21:00:34
0
neema0718
neema0718 :
mchenza nao si fresh. ?
2026-06-25 12:24:15
1
sheisjacque8
🦋🐝llyn€ :
Daah ndio maana nikiwa kwa mama nalala sana kumbe shida ni haya🙌🙌maan chai ya pale ni mchaichai na majani ya mlimao kutwa mara mbili nyie
2026-07-29 17:50:46
0
user81483048859502
MWAJUMA OG :
samahani Kwa mwenye vidonda vya tumbo anaweza kutumia nijuze tafadhali Dr wangu najifunza mengi sana kwenye hii page Yako🙏🙏🙏
2026-06-03 10:20:52
0
noreen.bby7
qeen wa mr :
na hii inasaidia kupunguza uzito???
2026-06-04 06:21:54
0
_sarahchazi
_sarahchazi :
mi nauliza tena ukibrend majani Kuna shida??
2026-06-03 12:46:21
0
maimunashabani488
Munaah@27 :
kaka naomba unisaidie dawa ya mtu ambae anashisa ya kusikia,, Maskio
2026-06-03 10:27:15
0
eveloly
eveloly🍭 :
na mjamzito anatumia?
2026-06-28 13:02:18
0
user3814238797906
amour saaa :
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
2026-07-20 06:57:49
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About