@drmillanzi: 🥕 Juisi ya Karoti + Chungwa Husaidia kuupa mwili vitamini A na C. Huchangia ngozi kuonekana yenye afya na mng'ao mzuri. 🍍 Juisi ya Nanasi + Tango Husaidia kuongeza maji mwilini na kuburudisha ngozi. Huchangia ngozi kuonekana laini na yenye afya. 📌 Unataka kujua vyakula na vinywaji vinavyoweza kusaidia ngozi yako ionekane yenye afya na mng'ao? Andika neno GLOW nikusaidie. ✨#Ngozi #ForYourPage #VideoTrending #Fypppppp #TiktokViral