Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@dzkyyfx: Jalan aman adalah jalan yang paling berisiko?? #fyp #motivation #kontencom #kontencomxsulianto YouTube: Sulianto Indria Putra
Dzky•fx
Open In TikTok:
Region: ID
Wednesday 03 June 2026 06:56:48 GMT
21265
952
2
18
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.16MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.11MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Xyddaaa :
first
2026-06-12 23:44:50
1
To see more videos from user @dzkyyfx, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
badqesmate na we nor sawe no #😭💔 #fyp #foryou #dontunderreviewmyvideo #foryoupage❤️❤️
Your new go-to tactical belt is here 🔥Durable, lightweight, and built to hold all your daily gear.No sagging, no sliding, just solid comfort all day long.Great for outdoor, hiking, camping, and everyday carry.Practical, low-profile, and worth every penny.#TacticalBelt #EDCGear #EverydayCarry#UtilityBelt #OutdoorEssentials
#trending #foryoupage❤️❤️ #foryou #pyyyyyyyyyyyy #vairaldance💃💃
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026, itakuwa siku ya mapumziko rasmi Zanzibar kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1448 Hijria. Akitoa tamko hilo leo, Juni 15, 2026, Ikulu Zanzibar, Rais Dkt. Mwinyi amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa uamuzi wa Serikali wa kuutambua Mwaka Mpya wa Kiislamu kama miongoni mwa siku muhimu zinazoadhimishwa Zanzibar. Amesema siku hiyo itatoa fursa kwa wananchi, hususan waumini wa dini ya Kiislamu, kuukaribisha mwaka mpya kwa ibada, dua na matendo mema, pamoja na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuijaalia Zanzibar na Tanzania kwa ujumla amani, umoja na ustawi. Rais Dkt. Mwinyi amewahimiza wananchi kuutumia mwaka mpya huo kama nafasi ya kujitathmini, kuimarisha uchamungu, kusaidiana na kuendeleza maadili mema yanayojenga familia na taifa lenye mshikamano. Aidha, amezitaka taasisi za Serikali, taasisi binafsi, waajiri na wananchi wote kuzingatia tangazo hilo kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa. Katika tamko lake, Rais Dkt. Mwinyi amewatakia Waislamu na wananchi wote heri ya Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1448 Hijria, huku akimuomba Mwenyezi Mungu aufanye kuwa mwaka wa kheri, amani, afya njema na maendeleo kwa wote. As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy