Alafu kuna mtu mahali husema walokole tunapenda kulia my dear acha tu tulie kuna raha kulia mbele za baba yetu wa mbinguni
2026-06-03 16:10:17
231
timmztraveller :
Namkubali sana mwakasege Mungu azidi kumpa hekima na maisha marefu🙏🏽
2026-06-03 18:19:23
48
sammuel252 :
glory to God
2026-06-04 15:48:58
0
OfficialFredyIcon™ :
Ndio wachungaji peke tulio bakiwanao wanao isema kweri ya Mungu 🫂❤️🙌🙌🔥
2026-06-03 17:57:30
61
nelly :
nikumbuke Mungu wamenicheka sana wamwnisema vibaya wamenitetq sana oooh wameniaibisha sana naomba baba mfumo ulionifunga unifungukie oooh haleluya haleluyaaaa
2026-06-03 18:41:16
39
Neema Mosis :
naamin Mungu hataninyamazia .sijawah kumuona uyu baba analia tangu nianz kumsikia na kumuon hakika Mungu hatnyamaz Kwa ajil ya afy yangu na ndoa yangu. eee Mungu wangu.
2026-06-04 06:50:55
15
janet mbithe :
Baba Mungu yatosha ponya ndoa yangu kweli usinyamanze Tena Baba
2026-06-04 16:59:27
8
. :
mtu anambie hii ilikua semina ya wapi na lini 🥺
2026-06-03 15:57:30
8
user5815672009794 :
Mungu usinyamaze kimya mfalme wa Amani,inatosha mm kuwa masikini
2026-06-04 16:15:09
6
@Sis levoh💫 :
Tumebakia nao watumishi wachache kama hawa Eh Mungu tulindie😥😥
2026-06-03 20:05:11
15
Vonce charming :
Haya machozi hayaendi bure yanamajibu na hayatakawia🙏🙏🙏🥺🥺🥺
2026-06-04 08:38:36
9
user7637557834885 :
Usitunyamanziye Mungu yatosha
2026-06-03 11:12:50
7
unicoque :
yatosha sasa nimezunguka mlima sasa yatosha YESU fungua mifumo inikubali sasa,bado ninakuamini,ulisema hutaniacha
2026-06-04 09:24:23
8
emmanueljoshua145 :
oooooh hallelujah 🥺
2026-06-03 18:40:15
2
iam jenny🦋 :
BABA MUNGU usininyamazie namna hiyo
2026-06-03 15:18:45
7
official rieth :
Mungu uaitunyamazie 🙏🏼yatosha Baba 🙌🏼
2026-06-03 11:36:11
6
Catty♥️♥️ :
my spirital baba🧎♀️🙏🙏🙏😭
2026-06-04 11:26:56
1
praying :
Yesu usinyamaze 😭😭😭
2026-06-04 07:48:05
1
loves :
haijalishi mfumo umekataa kunihamisha,nitahama katika jina la YESU
2026-06-03 17:24:22
6
sweetsensationcakes :
Mungu usininyamazie😢 nipate haki yangu 🙌🙏
2026-06-03 17:24:35
5
golden eyes :
Usitunyamazie 🙏🙏🙏😭😭
2026-06-03 18:25:52
7
Mamy bites :
usitunyamazie Mungu😭
2026-06-03 11:00:53
5
Rachy🤗💫 :
Umeahidi Baba hautotuacha hata ukamilifu wa dahari, naomba usituache Baba 🙏
2026-06-03 17:29:43
10
Dolly julie :
Naujulikane upo Mungu tunaekuomba kila Leo 🙏🙏
2026-06-03 15:19:58
8
Aika :
Utukufu wa mwisho ni mkuu kuliko wa Mwanzo Bwana sikia kilio chetu🙌🙌🙌
2026-06-03 17:27:12
5
To see more videos from user @happinessalphonce_, please go to the Tikwm
homepage.