namshukuru mungu nshamaliza shule maana Baba angu angekimbia chapu kununua🥺🥺🥺. ambao mlikuwaga mnabiwa kuwa miguu yenu inamaliza viatu haraka gongeni like hapa
2026-06-03 16:41:21
38
@key of joy. bakes :
Baba yangu asiione hii
2026-06-17 16:21:01
1
mrs spongebob 😱❤ :
jmn nawaza ilo jua
2026-06-16 18:35:11
3
user805740514146 :
where should I get it
2026-06-16 22:59:01
1
SHIRA TZ :
this shoes we call all my life😂😂😂😂
2026-06-10 07:11:05
2
winnie ❣️❣️ :
what is kind of this
2026-06-08 18:49:36
2
Mathias ndudumizi :
toba🤨🤨🤨
2026-06-08 15:34:50
3
cut Isabella :
ewaaaaa 😂😂😂😂😂 nmecheka mpaka nimefariki
2026-06-03 16:28:29
5
Lusi Joeli :
kwishaaaa
2026-06-10 10:51:45
1
@babe#reylane :
no
2026-06-12 04:52:30
1
babe nelly 🦋🌹 :
mm nikiletew hiv sivaii maan siku nikivichoka sitanunuliwa vingin 🤣🤣🤣
2026-06-03 15:28:38
2
Ruwyda Shaban :
mungu anakuona
2026-06-09 20:41:44
1
N. T. G :
Kama ni boda boda na piki piki yako haina breki hii inakama poa sana
2026-06-03 13:58:37
2
💫💫ma kevoo :
daah nilipigwa sana jmn hapo Kila mtu na eneo lake la kufagia 😂😂😂😂😂