mimi saivi hata waongee vipi siumii ndo kwanza siogi😂😂
2026-06-03 15:58:28
150
🇹🇿🇴🇲 annastaziaboniphac0 :
Usilie mdg wangu bet mama ndivyo walivyo wanavisukari sisi tulio bet mama tunapitia hizo changamoto 🤣🤣🤣
2026-06-03 09:08:08
161
secy 1166 :
ongea alaka nakaa mbalii
2026-06-03 10:36:37
89
𝐍𝐢𝐥𝐡𝐚𝐭𝐲 salumu :
mimi naambiwaga nyumba nzima inanuka harufu yangu😁😁😁
2026-06-03 16:35:35
57
Sabrener @goldengirl :
Ongea haraka nataka kuzima data
2026-07-18 08:20:20
6
clever girl ❣️😻😻 :
tunaompa moyo gonga like apa
2026-06-16 12:53:11
61
Mwaju✨ :
Ongea harakaharaka Leo nina hasira sana
2026-06-04 16:50:58
18
🌸Fafa🌸 :
ongea haraka haraka basi nataka niscroll video ni nying mwanetu😂😂😂
2026-06-03 17:56:20
46
lasha🫦 :
ongea haraka wengine tunaishi mbali
2026-06-15 07:20:51
16
Ramjey khassan :
ongea haraka haraka dada nakaa mbali
2026-06-14 21:27:32
7
Minah🌸 :
😂😂😂 Nimecheka tafkiri mazuri Ila tunapitia mengi
2026-06-03 10:11:05
12
Shadya//One live💓 :
hapo unalia kwel au😂😂😂
2026-06-03 14:01:15
5
Queen nice🌹💃 :
unajua na cheka nn hii ni majabu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-03 15:09:26
10
bint kibary :
😆😆😆😆😆😆😆😆😆 ana wiki ngapi?
2026-06-05 09:41:44
10
minaa kiba❤️❤️🇰🇪 :
hinayo kitu yakuja kulia hapa😂😂😂😂
2026-06-04 03:41:14
10
Rahiya omary :
😂😂😂😂😂😭😭😭😭 et ana wiki 2 hajaoga Yan wao ndo wananuka halafu wanasema ss ndo tunanuka 😂😂😂😂😂😂 M Alhamdulillah sijawai kuambiwa hilo kunuka pole mwenetu oga hata mara 10🙌🙌🙌🙌
2026-06-04 04:53:28
9
❤️ 😍 💖 :
😂😂😂😂😂😂😂😂nimjikuta nacheka ety ajaoga wikimbili
2026-06-03 19:47:00
6
rahum🇹🇿🇴🇲 :
😃😃😃😃Tena vinanuka mikojo walah
2026-06-03 15:27:45
7
Natty wa stamala :
co kila wanacho kisem unafatisha utaumia
2026-07-20 06:11:59
2
Princess Salma :
hhhhhhhhhh dah unanuka nn sasa
2026-07-03 14:35:20
2
baby girl 💞🌹🇹🇿 :
usjali kipenzi changu hiyo ni suala tu la mdaa ila pole sana
2026-07-03 21:47:53
0
🦋 Lydia 🦋 :
usilie mwaya 😅mm boss wangu Huwa ananiambia ninanuka Kila mda kwo nishazoea tena ndo kwanza siogi
2026-07-22 08:22:24
2
To see more videos from user @zaylissa24, please go to the Tikwm
homepage.