@zulsal92: #creatorsearchinsights +255 675 454 718

Zulsal
Zulsal
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 09:10:43 GMT
124297
16220
2262
693

Music

Download

Comments

mama_kld
Barke mtika :
Mashallah mtoto anatoa adhana kwa utulivu kbs ee mwenyezi mungu muongezee uwezo afikie sauti ya Bilal 🕌
2026-06-03 16:20:22
297
pembaecotas
kweche boy :
Nampa Asilimia % 100
2026-06-07 04:39:18
5
ahahm115
ahmad :
mashallaah
2026-06-07 04:20:22
2
user327801850
iserenke🇹🇿🇦🇪 :
mashaallaah waisilam wenzangu tuwachangie wapate ata mazuliya wanakaa chini🥺🥺🥺🥺
2026-06-04 11:21:52
96
odoodo43
0674148200 :
mashalah mwanangu mungu akulinde na akukuze ivyo kwenyeimani na kumjuwa Allah
2026-06-06 22:08:59
12
as35515
ashraf :
mungu mjalie mwisho mwema huyu mtot na mwalim wke inshaallaah🙏
2026-06-06 20:01:35
21
travelwithlocalznz
Travel like a Local Guide :
mashAllah,sasa watoto wanakaa chini tufanye wakalie vikalio mabusati tafadhalini
2026-06-06 05:18:40
31
user85793040272120
user85793040272120 :
𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮 𝗹𝗹𝗮𝗵
2026-06-07 05:17:11
1
halima.said621
Shalimah :
MashaAllah ujumbee km unavosema "never give up" utafika mbali biidhi Allah Mungu aihifadhi sauti yako🤲🤲
2026-06-03 17:13:27
48
mishiabdallah611
𝑆ℎ𝑖𝑠ℎ𝑦𝐶𝑢𝑡𝑒😘 :
mgalaa muuweni haki yake mpeni......mashaAllah🥰
2026-06-06 07:37:03
17
bai.mess.26
Bai mess 😈26 :
kama muwazini wa màka.❤️
2026-06-06 16:49:59
12
user9350671361438
user9350671361438 :
mashallah husda ziwe mbali nawe
2026-06-06 17:17:57
8
user4003104821548
Ukhty wardah :
mashallah, allha akuzid kumzidishia elim inshallh
2026-06-03 15:24:33
7
feymarej
cute fey🌺🌺❤ :
Mashallah mpak mwili umesisimka 🥰
2026-06-03 10:28:17
29
shaymahsule
shaymahsule :
99 MASHALLAH
2026-06-03 09:42:50
19
user29797658490133
jamila :
Mashallah Mungu akujalie
2026-06-03 17:01:39
15
pembaecotas
kweche boy :
Masha llah
2026-06-07 04:36:57
2
abdillahi.khamis
Bin khamis :
10000000000000%%%
2026-06-07 03:46:37
1
ramadhanmwadudu60
Ramzy :
mashallah mtoto ana sauti nzuri sana ya kuadhini mungu ampe maisha marefu.
2026-06-06 18:01:49
9
kaysaa140
kaysaa :
mashallah mungu akubarik akuepushe na hasad za binaadam na majini
2026-06-06 18:07:39
6
nurdin.sharif
Nurdin Sharif :
mwenyezi mungu akuepushe na maswahibu ya dunia insha'Allah
2026-06-06 18:01:30
5
yussufhassan391
mabuyun :
YUPO WAPI HUYU KIJANA NIJE NIMPE PONGEZI AKEE
2026-06-05 16:44:33
16
husseinmwitha
Hussein Mwitha :
mashallah yarabyi na mm niongole wangu na wadogo zangu nampa 100
2026-06-03 17:07:01
11
mednamina
Medna Mn208 :
Mashallah mungu atuwekee aaaamiiin 🤲
2026-06-04 06:02:57
20
chess.mnyama
Chess mnyama :
mashallah mungu ukujaze baraka tele amina
2026-06-05 20:43:00
5
To see more videos from user @zulsal92, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About