@taarifa_24: WABUNGE WAMESIMAMA NA SAMIA LAKINI MAKADA WA CCM NA WANANCHI WAMESIMAMA UPANDE WA NCHIMBI. ILI NCHIMBI APATE NGUVU ZAIDI AJIULUZU MAPEMA, WANANCHI NA WANACCM WAWEZE KUMPA USHIRIKIANO MKUBWA ATIMIZE LENGO LAKE BILA HIVYO HATUTAJUA UPANDE WA KUMUWEKA - MDAU WA SIASA. Kada wa CCM Mwanye Jina Kazungu .B. Kazungu ameibuka na kukosoa vikali kauli ya Mbunge wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, aliyedai kuwa kuna kiongozi ndani ya Serikali anayemsaliti Rais Samia Suluhu Hassan huku akijifanya kutafuta huruma kupitia makanisa. Kada huyo amesema kauli hiyo ni nzito na inapaswa kutolewa kwa ushahidi badala ya kuacha maswali mengi kwa wananchi. Kauli za Mbunge huyo zimeendelea kuzua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii na miongoni mwa wadau wa siasa nchini.