@jugo_media: WASTAHILI KUSIFIWA (Gregorian) | Kwaya ya Utoto Mtakatifu Kigango cha Kariakoo, Parokia ya Msimbazi Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. . . Misa Takatifu Sherehe ya Utatu Mtakatifu & Ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Wenyeviti wa WAWATA Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam | Parokia wa Bikira Maria wa Fatima Msimbazi Center, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. : : #jugomedia #injilikiganjanimwako #jugomedialive @jugo_media www.jugomedia.net