@chugabigii: Hapa bora niishie hapo kutaja dhamnbi maana sitoboi😂😂. #funnyvideos #comedyvideo

LOUI
LOUI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 10:49:17 GMT
256983
23704
523
1798

Music

Download

Comments

dadyson007
Zungu Junior :
uki like inasimama
2026-06-03 12:37:41
110
jowzycode
JOWZYCODE#06 :
Kuingia TikTok ni kaz simple Sana lakin kutoka ndo vita Ya nafsi😅
2026-06-03 15:31:43
89
oyang.oyang57
Oyang Oyang :
umetixha
2026-06-04 06:48:11
0
jaaayd3
Jp🎸🍁 :
Jana nilikuwa na followers 17 leo nimekuta 16, nani kaniunfollow sasa wakuu🥲
2026-06-03 10:58:48
75
user572390275
amina mwang,amba :
jamani kaka mbavu zangu😂😂😂😂
2026-06-03 16:03:33
16
kimaro.tz45
Kimaro Tz ☘️🕕 :
10/10
2026-06-03 10:54:47
9
owendeo0101
Owen 17 :
40/40 nalipa
2026-06-03 13:58:42
6
gaspertemu333
bless :
1:I know😂😂 1:You watch 2.You laugh 😂 3.You go to comments 4.You saw my comment 5.You like
2026-06-03 13:20:51
10
meshaki.dehommy
Meshaki dehommy :
tulioangalia wiki hii weka like hapa
2026-06-03 13:28:58
8
missmars14th
Márs🌹🪐 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣love you loui♥️
2026-06-03 11:57:47
6
msethi.faustine
Msethi Faustine :
machulee kibao 😁😁
2026-06-03 12:30:40
6
lensontz103
lenson_tz :
salute loui😁😁😁
2026-06-03 11:41:22
6
mr_yobbi_nonchalantintro
🌐I🅱️🅾️S🇰🇪⚧️OBB🗼🌐(MR. Y) :
ulikua wapi mtu wangu huu muda wote 😁💯
2026-06-03 11:08:57
12
stephenlotha08
Lôţĥă'§ Søñ💫 :
bigiii🔥🔥
2026-06-03 11:42:55
6
rasterbaby548
Rasta baby 🤘🤘 :
loui
2026-06-03 14:19:16
0
juma.ndaro1
Juma Ndaro :
😂😂😂😂😂😂😂 Family
2026-06-03 16:52:14
0
user8161475667345
sarah :
ila chugaaa hiyo filter inakufaaa sana😂😂
2026-06-03 10:54:28
6
atho.man
MR ATHO MAN 1💎💎💎 :
Duuuh chugaaaa😁😁😁
2026-06-03 11:06:10
8
nicolasedgar436
Nicho :
Ila wee jamaa jau sana 🤣🤣🤣
2026-06-03 16:27:42
6
benjaa.philipo
Benjaa Philipo :
😁😁😁😁😁😁 we kijana utatuvunja mbavu sasa😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-06-03 16:00:13
9
.body.boost.tanzan
Body Boost Tanzania :
10/10 nalipa kwa uaminifu
2026-06-03 11:44:50
6
smarthb01
𝐒𝐌𝐀𝐑𝐓𝐇𝐁𝟎𝟏 :
Habar wanaTiktok.. Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu nana kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu...MKANIFOLLOW 😭🙏🙏AU NIENDE MOMBASA
2026-06-03 11:33:07
11
To see more videos from user @chugabigii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About