@duwa_visomo: sifaza kwanza kwa watu wenye group O na wenye M

manyanda African power
manyanda African power
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 11:31:06 GMT
204393
13473
1097
774

Music

Download

Comments

aishaseifslim
asha :
kiukweli sipendi hata hodi kwangu
2026-06-08 21:23:12
42
rehemajuma424
rey❤️ :
me kwenye kusalimia hapo
2026-06-05 18:05:03
46
ladyg6404
LadyG640 :
na hasira za karibu ndo kabisaaa
2026-06-10 07:15:29
24
lihna.adrian
Lihna Adrian :
ndy tulivyo mungu tusaidie
2026-06-05 12:12:25
48
beckerbless
Baraka Sadick :
Asante Manyanda. Kwa kuniacha uchi Asante sana nashukuru sana…..huyu ni mimi …Asante sana kuniumbua Mungu akubariki
2026-06-05 19:34:23
14
fatuma.ayub1
Fatuma Ayub :
yani sipendi wangeni sipendi stor.napenda giza sana.
2026-06-07 14:08:50
17
happylks6
🥰 :
sipendiii jmnn kusalimia na wagenii siwapendi mungu anisamehee
2026-06-10 15:19:08
6
user7449758794288
user0700425492 :
Nakubaliana nawe kabisa ,mm ni mmoja niko kwenye hali hii👍👍👍👍
2026-06-08 10:26:09
10
user1101770751993
mirran mirrian :
mmmmmh
2026-06-12 17:48:13
2
user8199611153054
user8199611153054 :
nilijua nina shida kumbe ndio nilivyo
2026-06-07 18:05:57
7
jamesjoshua967
James Joshua :
yaan broo umeongea mule mule vyote hvy kwangu naviona big up
2026-06-07 10:06:34
7
rose707276
Rose 🌹 :
kwani unaniona niko naivyo vyote 😂😂
2026-06-08 07:42:06
5
salama.s.rutaboba
Salama s Rutaboba :
Umejua kutupatia kbsa bwana Manyanda 🥰
2026-06-07 07:54:39
6
amishi339
household339 :
umeongea nikama unaniona
2026-06-07 06:06:36
10
maggy51341
Maggy💓 :
uyo ni mim kabisaaa
2026-06-03 19:43:47
7
user5317036874908
mayraj Mohammed :
kweli kabisa 😂
2026-06-12 20:20:21
2
fettyathuman5
fetty Athuman5 :
nikweli
2026-06-12 20:47:11
2
jey23104
Jey🥰 :
tumeunganishwa bas tuwe marafiki mana tuna tabia zinafanana kila kitu nnacho pia umesahau cwezi kuomba msamaha ovyo ovyo
2026-06-07 20:49:03
7
usersalome12
salome :
Kaka umeongea kweli
2026-06-12 23:40:03
3
uwinezaflorence20
Uwineza florence :
nikwer
2026-06-15 20:23:50
1
user31988848369832
caroline njeri :
true
2026-06-18 14:07:47
1
vansyla
Le papa🙏 :
Nataka Utajiri pardon c’est
2026-06-12 00:17:22
1
userkpsof
KP SOFI 🦋🕸🦋 :
mikono yote miwili nina M 🙃
2026-07-03 09:15:48
1
renecherry
renecherry's :
mm kabisaa 😂😂😂😂
2026-06-12 12:52:48
4
flavianapond
flaviana wakigoma :
makofiiiiii aiaaiaiaiaiiiii
2026-07-10 19:39:48
2
To see more videos from user @duwa_visomo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About