@queensilayo2: Na najibu comment vile vile 😂😂😂📌 alah

BIASHARA ZA QUEEN ✅
BIASHARA ZA QUEEN ✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 14:16:47 GMT
27521
1419
299
151

Music

Download

Comments

winne508
Winer Home Decor &Mattress :
Ndoa nzuri zipo sanaa sema tunaogopa kulogwa tukisema ndoa nzuri 😂😂
2026-06-04 08:35:44
118
teachingaid7
REVIVAL ✝️ :
Yaani mi kunishauri niachane na ndoa labda uniue, I will marry once and marry right.
2026-06-04 08:51:24
51
ummyjm
UmmyJM :
@UmmyJM: Kuna mahali nilikua nafanya kazi, kuna mfanyakazi mwenzangu alikua anapitia natatizo mengi kwenye ndoa mume anarudi asubuhi matusi wanawake, sasa kuna binti alikua mdogo kwetu akawa anatuomba ushauri kwamba mwanaume wake anataka kumuoa yule dada akawa anamwambia usiolewe yani nikisikia mtu anayaka kuolewa namuonea huruma ndoa mbaya mimi pale pale nikamjibu mbona hutoki kwa mumeo? Kama ndoa ni mbaya hadi utake mwenzako aolewe mbona wewe hutoki? Nikamwambia yule binti kila mtu ana historia yake usiruhusu historia ya mwenzako ikuzuie kutengeneza yako muweke Mungu mbele ingia kwenye ndoa!! nimeolewa miaka minne now and ndoa ni nzuri tafuteni mwanaume mwenye huruma mambo mengi yatakua mepesi
2026-06-04 07:41:54
44
mamatonycosmetics
MAMA TONY COSMETICS 💄🫦 :
Kwa upande wang mm ndoa yang Ina miaka 12 lkn hadi leo nasema ndoa siyo mbaya maisha ya ndoa nikama maisha mengne ambavyo utapitia changamoto kwenye maisha ya kawida pia kinachokuja kuleta shida ni pale unapotaka kuishi kwenye ndoa kama ulivokuwa unaishi mwenyewe lkn pia watu weng hatupendi kulekebishwa pale tunapokesea ndoa so mbaya Ila tu mkubaliane kulekebishana wote wawili na kubebeana mapungufu 🙏
2026-06-04 07:01:03
27
agnisha22
Agnisha Royal Cakes & Blooms :
Kama mbaya wazazi wetu ndo wangekuwa wakwanza kutukatazaaa jmn
2026-06-03 22:07:38
36
ammy787
Aminah😛😛 :
wanasema mbaya lkn hawaachiki mm ntaolewa ivo ivo acha nikajionee😂😂
2026-06-04 13:58:28
13
happygeorge768
Appy💞💦 :
nimepita uku kdg nimepata amani ya moyo😁😂😂
2026-06-03 22:01:24
28
babegim1
🦁❤️ :
Mm navyo penda ndoa hata niambiwe nini ntaona napigiwa kelele tu 😂😂
2026-06-04 06:18:36
17
brandnewblessings
@brandnewblessings :
Unaingia TikTok unampenda mtu wako vizuri, unatoka TikTok tyr una pepo la chuki na kujishtukia….unaanza kuishi bila kujiamini kisa tu maneno ya watu….mi najua ndoa njema bado zipo tusali tu
2026-06-04 15:31:46
10
missutuda
missutuda :
Ndoa nzur zipo hatusemi tu ila tunazo jaman Alhamdulilah ❤️
2026-06-04 11:11:47
9
tc_maggie
tc_maggie🤍🦋 :
kwenye wanaume wa peke ako hapooo🙌🙌wapooo tuache mentality za ajabu🙌
2026-06-05 08:34:15
10
chichy.mumy
Ms.kidoh :
Wanaboa sana me hata siwasikilizi kwakweli sikuhizi kila mtu apambane na yake 😏
2026-06-03 16:10:00
11
tulhats
🦋 Ms: european parts.tz🦋 :
mimi hata nikiolewa na nikaachika bado nitaendelea kuolewa maana huwa naamin alieniacha sio risk yangu
2026-06-04 14:10:45
7
guidottydagreener8
Am_gui🦋 :
😆😆😆😆wanatak tuchukie wanaume sa sijui wanataka tusagane jmn🤣🤣🤣🤣 em watuache tuenjoy kila mtu hii ni mara yake ya kwanz kuishi duniani tupunguze ujuaji
2026-06-04 05:16:52
6
mamabtz
criol beibs :
ndoa nzuri zipo,wanashauri kwa chuki kwasababu wanamaumivu
2026-06-04 08:52:46
6
agnisha22
Agnisha Royal Cakes & Blooms :
Kila mtu anasema ndoa mbaya adi ukiwa vizur unaanza kutafta mabaya binfs nimeacha kuckiliza yanapotosha
2026-06-03 22:06:23
14
officialhery1
Hery mapesa🩷🌸 :
Kwel kabsa ndoa nzur zipo tena kibao🙏❤️
2026-06-03 21:51:01
6
pendokhadija5
Pendokhadija :
Hatimae umezungumza nlotamani kuskia 🤗🤗….mtu yake yakifeli anajua wote tunapitia aloyapitia 😀ww omba Mungu akupe ur pair mtu so pair yako unamparamia lazima yakukute kila mtu Ana pair yake ukiparamia ya mwenzio lazima ya kushinde 🤗🤗tunainjoy na hatusemi mana hata tukisema hatutoaminika ila ukipata pair yako Maashaallah 👌👌👌🙏ndoa ni nzuri mnooo mnoo🙏
2026-06-04 04:26:11
6
heis3r1ck
heis3r1ck :
Naomba nikufollow kabisa, point taken and noted🙏
2026-06-04 20:33:05
0
jacque200151
jacque$2001 :
hazipooooo😅😅😅
2026-06-04 04:21:27
0
_lenaalex
_lenaalex :
Yaanie siku hiz wanatutisha achatu 🥺
2026-06-04 15:37:36
1
dafrosa33
Be smart always :
😂😂😂wanataka wenzao watoke 😂 ila nasema sitoki ndoa nzuri zipo
2026-06-05 14:51:17
3
s.h.a.n.n.a.y.a
Noor❤💫 :
😂😂wadogo zng wa miaka ishirin njoen hap😂😂.....
2026-06-04 08:39:48
2
To see more videos from user @queensilayo2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About