jambo baya sana kufuta historia ni sawa kusema uongo
2026-06-04 13:48:40
0
bintkidoti :
my sec school👌
2026-06-04 08:15:07
0
26rashidsalim :
Na miaka yake hadi sasa ni 102
2026-06-03 18:29:46
1
Bahuka Kilimbi :
ben. bella nilikuepo hapo 2002
2026-06-04 04:29:09
0
Hababuu Ali :
Very old School
2026-06-04 12:01:49
0
mihrimaa :
my school 🥰
2026-06-04 05:47:40
0
kt saleh :
my secondary school.
2026-06-04 05:12:12
0
Amour Suleiman :
tulio soma hapo 1987/88 tujuane
2026-06-04 07:51:18
0
عبد المجيد بن ابوبكر منغى :
Sio Ben Mbela bali ni Ben Bella
2026-06-03 19:34:38
4
Hashil :
ni skuli yangu ya secondary nilosoma
2026-06-03 20:00:08
1
im_fidely :
Jengo la ben mbela lilijengwa mwaka 1923 ss sijajuwa wakati huo ilikuwa ni skuli au kitu gani rudi kwenye ukuta mkuu wa kuingilia ben mbela utaona hicho kibango
2026-06-03 14:56:38
1
el omary🧠 :
sio ben mbela ni ben bella🤣
2026-06-04 18:59:26
0
ka :
huyu Ben Bela kafanya nini zanzibar
ma komrad walitoa jina hili
hii school 8lijengwa na Mashnasir
inaitwa Smith Madrasa kwa msaada wa mzungu
tureje Hospital ya mnazi mmoja ilijengwa na tajiri Kareemhi Jivanji wakati wa ukoloni walishindwa kujenja
turejeshe Jima na
KAREMJI JIVANJI
sio Hospital ya Mnazi mmoja tunashukuru Rais
Hussain anafanya kazi nzuri zanzibar
Mungu ambarik
2026-06-05 17:33:36
0
Roots Man :
sema baada mapinduzi kutokea mzee karume aliamuru shule kuitwa majina ya mashujaa wa afrika pmj na wanaharakat wa kupgania uhuru miongon mwa hyo majina ni km la bembela, lumumba, hailesalasi, fedlcastro
2026-06-04 07:19:26
0
26rashidsalim :
1923 sio 1953
2026-06-03 18:28:37
0
cute Humayrah :
😂😂😂
2026-06-04 08:16:12
0
To see more videos from user @choloeddy3, please go to the Tikwm
homepage.