@mafuru_foundation: Tusiwasahau wazazi wetu, inawezekana changamoto za maisha zinatufanya tusahau kuwatumia chochote kitu, na sipo hapa kumlaumu mtu, bali tunakumbushana, siku Mungu akitukumbuka basi tujitahidi kuwakumbuka wazazi wetu kwa chochote kitu, kuna baraka zimo zimeandaliwa kwa ajili yetu pale pindi tunapowakumbuka wazazi wetu!
nashukuru tumezaliwa 3 but mim peke yangu ndio namkumbuka mama yangu
2026-06-04 02:10:09
176
✨️She Is Daisy✨️ :
Ningeandika kitu ila sitaeleweka kirahisi.. anyway wazazi na sisi tuwe na upendo katika malezi yetu kwa watoto 🙏
2026-06-04 13:02:57
63
Manuu Cench 🤑 :
so touchy 😔
2026-06-05 20:45:10
0
Isabella💕 :
Mungu naomba unipe neema nisimsahau mama yangu mana nampenda sana❤️
2026-06-05 13:07:32
16
Dayna marco :
tumezaliwa wanne mimi pekee ndye ninae mkumbuka mama kumtumia chochote kitu maisha aya
2026-06-04 05:59:50
30
Eddie🤏🫵 :
da mungu naomba utufanye tuwe na mwisho mwema lakn hasa. tuwatazame wazazi wetu
2026-06-04 15:50:46
10
ruckydodo86 :
Jmn tuswasahau wazaz kwa nmn yoyote Ile jmn 😭😭😭💔🙌
2026-06-03 18:51:27
24
🌸🌹joyheart🌺🌸 :
for sure uyu mama kuna mambo anayapitia yanayo muumiza moyoo,mungu nahahid kumtunza mama na baba yangu😭😭
2026-06-04 09:54:22
18
Kim Ally :
😭😭😭😭😭😭😭😭Allah azidi kunipa nguvu nizid kumtunza mama angu
2026-06-04 08:19:43
10
Salma_shayo_moshi :
2026-06-04 06:47:36
3
kalul.96 :
God help 🙏 🆙
2026-06-05 18:54:26
0
chama 22 :
nimejikita nalia sn😭
2026-06-04 04:57:10
7
Mpichu boy :
Tusiwasahau mama zetu
tunapo kuwa mbali nao
mungu awatuze mama zetu
naazidi kuwaweka...
2026-06-03 21:57:17
15
Mnyamawayesu :
dah maisha haya 😢jamani
2026-06-04 03:39:47
7
Dollyn💝 :
pole sana bibi yangu
2026-06-04 05:20:35
7
msafi tz💍 :
Dah 💔
2026-06-04 13:13:35
2
jylne💕 :
So painful jmn ukifanikiw baraka ya kwanz ni wazaz usije wahi msahau mam yakoo eeeh MUNGU nisaidie nipate pesa ili niwatunze vyema wazazi wangu na wote wenye uwitaji
2026-06-03 22:02:50
5
genius_lolly :
I love ue mmaa🥺
2026-06-04 22:20:40
1
Aive Abely :
dah inaumizaaa
2026-06-03 19:54:01
7
sandu G cosmetics 💄 :
mimi kwenye huu ulezi wangu ntajizingatia sana mimi kusema niwekeze kwa watu ambao Mungu kawaleta dunian kwa kusudi lake sitaki kama kusudi lake ni uchoyo me nije niumie nilivojitoa never
2026-06-04 09:29:49
3
emmie make fanny :
Nikose mimi Lakin sio mama yangu🥰🥰
2026-06-04 11:40:57
2
FLOWER BOY. 23 :
🥹🥹🥹 mungu amsaidie bibi maisha yana changa moto kubwa
2026-06-04 18:16:00
2
Bexley44 :
walai mamangu, nitapambana hadi tone langu la mwisho kuhakikisha unapata kila kitu ulichohitaji kama ulivyopambana mimi nipate Nikiwa mdogo. dah kitu cha thamani nilichonacho ni mama yangu tu. ndiye aliyenilea tangu utoto. nilikuwa mimi na mama tu,, na daima namuombea maisha marefu. MUNGU AWABARIKI WANAWAKE WOTE DUNIANI.. awajalie nguvu Akina mama ambao wanalea watoto wao wenyewe (single mothers)
2026-06-05 08:45:27
3
Rosse Bogoshi :
Mungu amtie nguvu jamani
2026-06-04 19:45:46
1
Sisi ndio tuko :
tumezaliwa 6 lkn mie ndo kila kitu kwa mama Asant Mungu
2026-06-04 12:36:59
0
To see more videos from user @mafuru_foundation, please go to the Tikwm
homepage.