@iycsigntv: Kijana kasema Tutakuwa na maandamano makubwa tanzania 7/7/ 2026 Muusika: kijana 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 03 June 2026 16:06:34 GMT
337437
14750
854
1006

Music

Download

Comments

mr.president2766
Mr president :
Oya acha ujinga m nimezaliwa tarehe 8 natk nifanye birthday 😳
2026-06-04 11:25:44
182
witnessjoseph38
Angel :
Mungu tusaidie wajawazito tuliokaribia kujifungua mwezi wa saba 🙏
2026-06-04 06:06:37
250
momo.jr883
@islam :
Hakunaaaa hushindweeee hatutakiiiiii nenda mwenyeweeeeeeeeeeeeeee
2026-06-04 07:06:00
46
fadhilahussein582
🦋LOML🌹🥀🦋 :
jmn my birthday mnataka kufanya nini jmn acheni
2026-06-03 17:32:56
68
hekimamassawe786
IR0N💫 BUTTERFLY 🦋 :
jmn mungu tusaidie tumech0ka
2026-06-03 17:07:51
23
loveluck_14
Brooklyn 14 :
badilisha tareh tafadhar hiyo siku itakua ni birthday ya babaangu so tafuta siku ingine
2026-06-03 20:51:36
46
khadija.abrahman6
khadija abrahman :
andamaneni lakini musiibe, musiwaibie watu, musichome ofisi za watu, kiufupi msifanye uchafuzi wa nchi.
2026-06-04 07:01:06
51
user1536997023450
debora mavamb560 :
tafadhal msubir kwanz niolew maan ndoa ni tarehe 9/7/2026 mfanye kusubir kidogo
2026-06-04 16:32:23
27
sammy32520
SAMMYY :
nd mpange siku yangh ya kuzaliwa jamn
2026-06-04 09:32:31
33
gift.term3
Gift term :
Hatutaki kaka tuache jmn🥺
2026-06-03 20:16:29
38
zamakatz25
ZAMAKA TWENTY FIVE 2️⃣5️⃣ :
mbona nchi imetulia hebu acheni kuvuruga Amani yetu 💚💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-06-04 18:11:54
13
dicsonambundo
dicson ambundo :
achen dharau hamkuona siku nyingine ad mchague hii ya sisi wakulimaa
2026-06-05 15:08:43
5
sospeter_mwageni
SOSPETER MWAGENI🇹🇿 :
linda Amani, Linda Tanzania
2026-06-04 09:56:44
14
hermanmkangi
Herman Mkangi :
Hatuhitaji Maandamano sisi Tanzania ni salama
2026-06-04 06:01:25
7
azizsulking
Azpro Zpro :
Amna mtu kuandamana
2026-06-04 10:50:06
7
emmanuel.mtatiro0
Emmanuel Mtatiro :
kalbu sku ya tarehe 7 mwez wa 7 n happy birthday yangu
2026-06-04 07:13:11
5
official.mtoto.p
official Mtoto p :
gonga like kama unayapinga haya maandamano
2026-06-05 08:54:49
7
itsmeeh77
🎀sanna® :
Msubiry kwanza birthday angu 8/7😭😂
2026-06-04 09:04:27
6
bumi.saloon
Bumi Saloon :
nayakataaa kwa jana la yesu
2026-06-04 15:51:38
5
www.luphatheking
lupha🐕😎 :
kwahiyo sku yangu ya kuzaliwa ndo mnaandamana si ndioo 🥹 sawa mkuu
2026-06-03 19:11:04
20
iffa0636
iffa🤎🦋🌹 :
Naomba mm msinijumuishe kweny hayo maandamano yenu 🙌
2026-06-04 07:39:18
9
mamerithalutonja
Mameritha :
Amanda Mano siyo mazur jaman tunataka aman achen tuuu
2026-06-04 06:46:16
7
its_de_leo
its_de_leo :
Mshaaahara sjapokea wakuu ndo itakuwa katikati ya mwezi 😅😅😅achen mambo haya
2026-06-03 21:52:13
5
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About