uadilifu sawa, ila hayo maelezo Yako kwamba hutakiwi kuwa muaminifu umekoseawa bro, huwezi kua muadilifu kama hujawa muaminifu ndo maana mwanzo wa hio aya inasema "Enyi mlo amini" wanaambiwa waumini watu wakweli ambao ni waaminifu.📌
2026-06-04 08:43:51
86
yahya :
hii nkiipost status naachwa leo leo😅
2026-06-05 04:29:59
23
jafartego :
Muaminifu- Mtu wa kuaminika mkweli. Muadilifu- mwenye kufanya vitendo vya maadili au visivyo na upendeleo.
2026-06-04 06:43:29
25
Abrari marvellous :
zingatia uadilifu sio auminifu
2026-06-04 09:56:04
13
Pagae G Traders :
Anapotosha pakubwa sana.
2026-06-04 20:36:11
10
Omar muswtwafa :
الليها
2026-06-04 04:48:08
15
muungwana24 :
Hapo kwenye kusoma Aya mungelishusha sauti ya Background
sisi hayo maneno ya Allah tunayaheshimu sana
2026-06-04 11:32:18
10
Salim Nkupe :
shukran kwa elim kaka
2026-06-03 23:39:32
10
ALIMIPANGO :
kumbe mambo yamo. Shida itakuwa matendo sasa.
2026-06-04 05:13:42
10
mussa zyuma :
mashaallah mungu akusimamie katika utafutaji wako
2026-06-04 03:55:13
11
Maawiya sule :
uwo uwadilifu ndio uwaminifu wenyewe sawa
2026-06-06 06:43:28
2
ZABURI :
Uaminifu uko ndani ya Uadilifu
2026-06-05 15:49:11
1
Mohdy Mgupu :
unawezaje kuwa muadilifu bila kuwa muaminifu?
2026-06-05 06:17:56
2
Comred :
baba tuwache na huwazi kuwa muadilifu alafu ukakosa kuwa muamifu
2026-06-05 19:57:11
1
ndasi_zedon :
umejitahidi
Ila Rasuli (S.A.W) Alikua Swadiqul-Amin
mkweli na muaminifu na cc kigezo chetu ni yeye ALLAHU'AALAM
2026-06-08 20:10:20
4
Soud Moad🎭 :
Fundi kabisa
2026-06-04 23:06:45
1
MR A.I :
ilaiyaaa 😂😂 umeshusha ww iyoo
2026-06-04 14:03:25
2
apololoco :
mashaa allah
2026-06-04 16:36:45
1
makato_30 :
fact
2026-06-04 11:15:18
1
hukum construction :
✅zingatia uadilifu
2026-06-03 23:13:00
4
Chesco Babloo :
Asante sana
2026-06-04 09:24:16
1
TikTok :
daah hakika hakika
2026-06-03 16:40:08
4
SCANIA👊 :
shida inakuja hatutak kusoma din ya Allah tabaraka Allah atufanyie wepes me nawew tuisome din ya Allah tabaraka ili tupate utuliv wa moy0
2026-06-04 06:23:47
4
zizou🤵🏽♂️✨! :
Ricardo 🔥
2026-06-04 06:09:19
1
Dullakhan :
BIG Time
2026-06-03 17:32:34
2
To see more videos from user @brownchapakazi, please go to the Tikwm
homepage.