@juice_asilia: Kama unatafuta njia rahisi ya kuongeza matunda na mboga kwenye ratiba yako ya kila siku, jaribu mojawapo ya juisi hizi. Ni ipi ungependa kuanza nayo leo? 1️⃣ Juisi ya Tikiti Maji 2️⃣ Juisi ya Nanasi 3️⃣ Juisi ya Beetroot 4️⃣ Juisi ya Kijani 5️⃣ Juisi ya Papai 6️⃣ Juisi ya Limau na Tango Andika namba yake kwenye comments. Save post hii ili usije ukaisahau. ❤️ Like na follow @juice_asilia kwa vinywaji zaidi vya asili. #juice #weightlossjuice #carrotjuice #juiceasilia #fyppppppppppppppppppppppp

juice_asilia
juice_asilia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 June 2026 16:15:15 GMT
87882
1478
34
355

Music

Download

Comments

seline3122
seline :
Beetroot ninafaa kutumiwa ikiwa haijachemshwa
2026-08-17 10:29:43
1
godfrey.danieli
Godfrey danieli :
Kama ninasumbuliwa nn a vidonda tumbo na gesi unanisaidiaje jamanii🥰🥰
2026-06-21 20:14:23
1
user174901608161
user174901608161 mida mmy :
shukuran sana
2026-06-30 10:46:18
1
user8451946573583
Abu ore :
mwenye mimba inamfaa hii
2026-06-25 19:52:06
1
user66810791988501
Aysha :
tutie sukar
2026-06-11 14:20:08
1
anilovehomedecoration
anilovehomedecoration :
unaweka na maji au kama ilivyo
2026-06-11 09:59:04
1
rumaysaa89
Rumaysaa89 :
naomba unitag ukiweka smooth za kuongeza uzito
2026-06-21 13:59:00
0
agnesmakeup8
agnesmakeup :
asali naweza tumia apo?
2026-06-14 18:00:54
0
chimbo_la_nguo_arusha
Merlah Collection :
Tupe na ya smooth
2026-06-24 17:49:18
0
annamassawe72
massawe anna :
nkila bila kubrend
2026-06-19 10:40:56
0
lizybet38
lizybet38 :
Kwa anaenyonyesha?
2026-06-11 11:33:05
3
asma.bites
Asma Bites :
Unaweza kuweka kwenywe friji
2026-06-07 07:15:17
2
priscar.murethi
Priscar Murethi :
nikwa na hii ratiba nitapungu kbs jmn
2026-06-20 13:39:00
0
eng.zubedah
Zubby packaging :
😋😋😋 wiki kamili bila sumu
2026-07-09 14:59:38
1
zee58733
Zee💞 :
😁😁😁
2026-06-11 10:39:54
0
marylee24024
Marylee :
🥰🥰🥰
2026-06-20 21:14:24
0
missmiracle205
Miss miracles🫦 :
@Milly 🍂 recipe
2026-08-06 16:52:06
0
le.secrte.du.succ
Sommey Jeremiah :
🥰🥰🥰
2026-06-13 15:03:26
0
dimalee27
dimalee :
😳😳😳
2026-06-11 17:52:00
0
ummy22853
ummy22 :
❤️❤️❤️
2026-07-02 13:10:10
0
catherine.john424
Baby lovely ❤💍 :
🥰🥰🥰
2026-06-09 08:53:04
0
heavenjuicery
Heavenjuicery :
❤️
2026-06-12 06:30:46
0
To see more videos from user @juice_asilia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About