bro, key point umesemaa ila ukwelii naomba niongee na mtu ambaye anapita kusoma post kwa wenye wapenzi au ambao Havana. " brother & sisters jipende mwenyewe, mpende na Mungu maana kuna moment bro inafika ukijipenda akiamua kukuacha hutaona shida akikupenda utaona swaa, kipindi hicho kikifika hutalose chochote brother angu, isisahau kuongeaa na Mungu kila siku. jipende binafsi. muwe na wakati mwema ndugu zangu.