@bongofive: Kupitia Podcast ya #B4theFame msanii @chino_kidd7 akiwa na mahojiano na @el_mando_tz amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya kisa chake cha kunusurika kifo baada ya kuiba. Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive