@ms.priscar: Flp 4:6 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. #Biblestudy
Mungu zidi kuonekania kwa Hawa wanawake wanao kuita kwa ajili Yao na familia zao usiwapungukie wape Nguvu na Baraka wazidi kufanyika Baraka na Neema kwetu 🙏
2026-06-03 18:28:44
9
Rey@@ :
naomba kua miongon mweni
2026-06-03 18:22:44
7
perykm001 :
just love the song
2026-06-11 11:17:37
0
Deborah jerry :
nakupenda sana kipenz kazi Yako ninjema sana mbele za mungu japo plz jitaidi kuwafundisha mabinti wasivae suluali waendapo mbele za mungu baba mana nichukizo
2026-06-06 15:54:49
1
Gillian :
I love the way the members are decently dressed
2026-06-08 13:36:25
1
elizadarema :
amen
2026-06-11 13:35:00
0
Josephine 22 :
Amen
2026-06-10 10:26:57
0
catherine :
Nataman Ningekwepo hapo jmn 😭😭 Naona kabs safr yang bila Mungu ni Aibu
2026-06-04 07:23:05
2
jjokocha :
amen
2026-06-09 08:05:07
0
Jane marion :
amen🤲🤲🤲🤲
2026-06-08 15:15:39
0
user4600375136987 :
amina
2026-06-10 19:00:53
0
Aileth Novath :
amen mtumishi 🙌
2026-06-10 06:45:05
0
nelly :
ameen
2026-06-09 17:23:51
0
Muni :
Ameen
2026-06-05 08:14:02
1
CHITE :
weka namna ya kujoin, mana dm haujibu...
2026-06-08 22:40:16
0
Secy ❣️🥰 :
kila nikitaka kuomba lazima nilieee nashindwa ongeaaa mim
2026-06-09 10:45:00
0
user3793413205399 :
Nimekosea nikija dar mast nikuone bby
2026-06-09 11:54:27
0
Rach queen :
amina
2026-06-03 21:37:00
0
totty :
amen dada
2026-06-06 19:41:34
0
Rahim🇹🇿 :
Amina. 🙏
2026-06-06 14:55:55
0
REBECA KATANA :
AMEN 🙏🙏🙏
2026-06-06 23:11:49
0
Joyce Daudi Daudi :
amna amina🙏🙏
2026-06-07 12:09:56
0
frank de manten :
mungu nakupenda sana
2026-06-08 13:29:43
0
Teacher Charles :
mbalikiwe 🙏🙏
2026-06-09 07:25:41
0
Shukurani :
Mungu awabariki
2026-06-04 05:49:29
0
To see more videos from user @ms.priscar, please go to the Tikwm
homepage.