Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@dileandrosstech: Como Remover Anuncios do Iphone
Dileandross Tech
Open In TikTok:
Region: BR
Wednesday 03 June 2026 18:53:32 GMT
5365
46
1
8
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.27MB
)
Watermark .mp4 (
7.77MB
)
Music .mp3
Comments
davi :
N consegui Mn
2026-10-03 06:12:41
0
To see more videos from user @dileandrosstech, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
اذكروا أمي بدعوه🩵:#اللهم_ارحم_امي #صدقه_جاريه_لجميع_اموات_المسلمين #humor #fyp
WAZIRI SHARIFF ATHIBITISHA KISIWA CHA KWALE KUKODISHWA KWA DOLA MILIONI 1.5 ✍🏻 @rashidbattashy Waziri wa Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff, amethibitisha kuwa Kisiwa cha Kwale, kinachotumiwa na wananchi wa maeneo ya Fumba, Bweleo, Kikungwi na Unguja Ukuu, ni miongoni mwa visiwa 17 vilivyokodishwa kwa wawekezaji. Akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Ole, Seif Hamad Suleiman, katika Baraza la Wawakilishi, Waziri Shariff amesema Kisiwa cha Kwale kimekodishwa kwa Kampuni ya Gr8t Holdings (Zanzibar) Ltd, ambayo tayari imelipa jumla ya dola za Marekani milioni 1.5 kama gharama ya ukodishwaji wa kisiwa hicho. Amesema Serikali imechukua hatua hiyo ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha rasilimali zilizopo nchini zinatumika ipasavyo kuchochea ukuaji wa uchumi, hususan kupitia sekta za utalii na uchumi wa buluu. Aidha, amesema kampuni hiyo imepewa mkataba wa ukodishwaji wa ardhi kwa mujibu wa sheria zinazosimamia masuala ya ardhi baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa na Serikali, ikiwemo uwekezaji wenye hadhi ya juu na masharti ya utunzaji wa mazingira. Waziri Shariff ameongeza kuwa mwekezaji huyo yupo tayari kuanza utekelezaji wa uwekezaji wake katika kisiwa hicho. Swali hilo limekuja kufuatia kuwepo kwa taarifa kuhusu ukodishwaji wa Kisiwa cha Kwale, ambacho kimekuwa kikitumiwa na wananchi wa maeneo ya jirani.
2027 starts now.
อุชชขข
الشخص اللي يوصلك مرحله العتاب . منشن؟ #شريان_الديحاني #تيم_المصمممين #جـــٓـفـَـا
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy