mbona kama umetoa usia mzee maana dah mwanafunzi la kwanza kapewa topic ya chuo ila big up brother 🤝
2026-06-04 06:01:41
5
Soya_255_ :
on point brother
2026-06-05 10:29:45
1
GOD FATHER :
Saf kamanda
2026-06-06 04:32:21
2
stella :
Unamoyo sana. Nimependa sana,yaani elimu sio maisha. kikubwa kutoa ujinga . kuna wengi wamefeli shule lakini wanamaisha maxuri sana. wanamabiashara makubwa. Tusiangalie mtotonkawa wangapi ,tuangalie ameelewa anachofundidhwa. Na alikuwa anspata maksi ngapi na sasahivi anapata ngapi. Sio kulinganisha na wenzako.
2026-06-04 04:03:14
4
mbunda :
now you know
2026-06-04 11:29:03
1
Grace John :
hatutaki awe simba wala chelsea maana
2026-06-04 10:01:55
2
To see more videos from user @farhankihamujr, please go to the Tikwm
homepage.