@ak_venturestz: Unakuta mtu anapenda kwenda sehemu nzuri na haja Follow hii account 🫵🏾... usiishie kuuliza hapo ni wapi wakati wenzako wanaenda💯 Hapo ni Bagamoyo panaitwa White House Villa- Room ya vyumba vitatu (watu 6 = 450,000) Room ya vyumba vinne (watu nane = 550,000) Hakikisha ume follow hii page kujua machimbo ya bata Tanzania 🫵🏾 #akventures #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #bagamoyo🇹🇿

AK_Ventures ✪
AK_Ventures ✪
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 05:15:13 GMT
46899
1291
30
480

Music

Download

Comments

careenceissy
SnappySweetie💝🤭 :
kumbuka hiyo ni bei ya iphone 11 aya bhana😂😂😂😂
2026-06-04 12:32:59
1
user63994449909358
lioness :
wawili je?
2026-06-04 10:09:33
1
happy.saro
happy saro :
menu zenu zikoje
2026-06-04 12:59:26
1
martinahn00
Martina :
Kwa siku ngapi?
2026-06-04 05:24:29
1
oficialamour
officialamour :
Tukiwa wawili je
2026-06-04 08:43:30
0
user9170481113273
mahily :
iyo hela mnapata nini na nini
2026-06-04 10:14:15
1
neolife_tanzania
DIRECTOR LOYCE :
chakula kipo inclusive
2026-06-04 10:22:35
0
phinaaggy368170
PhinaAggy :
Kwa siku?
2026-06-04 12:48:48
0
ligagadaughter
Ligaga-Daughter :
natafuta watu wa kwenda nao
2026-06-04 15:37:53
0
hassani.bakari18
Hassani Bakari :
🥰🥰poa sana
2026-06-04 11:59:52
0
mumdionzi2023
Single mother :
Hiyo lak 450 kwa kulala watu sita au kuogelea
2026-06-04 15:13:45
0
najmasultan2
P MWANI :
bagamoyo sehem gani
2026-06-04 10:41:04
0
anitha.rimo
🌹✨💫 𝕞𝕪 𝕙𝕒𝕓𝕚𝕥𝕪 💫✨🌹 :
kwa siku ngapi na chakula kwenu pia mm nataka nije na familia yangu
2026-06-04 12:56:28
0
mama.kblessing
Mama kBlessing :
Bagamoyo ipi kerege mapinga, zinga,kiromo,?
2026-06-04 09:47:34
0
blackbeauty4487
BLACKBEAUTY🌹❤️ :
@golden_colour77 @thressy🦋🧿 patushinde jmn
2026-06-04 11:09:17
0
hawamwita
hawa mwita :
🔥🔥
2026-06-04 11:44:38
0
diachina4
diachina :
@marvelous_chic
2026-06-04 09:59:28
0
243queen1
👑QUEEN 👑 :
🥰🥰🥰
2026-06-04 09:03:50
0
lyidiarichard01
Lydia Richard :
@Mkariziki ile vacation
2026-06-04 09:03:58
0
balqiss.bby
♓️ :
@Winnie🍒
2026-06-04 11:55:58
0
official.iamdady
official iamdady :
@officialbekajoh
2026-06-04 16:40:55
0
To see more videos from user @ak_venturestz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About