kweli tuna toka mbali aiseee enzi izo ndo ilikua kazi yangu 2011 adi 2014
2026-06-04 17:31:29
5
Habili George :
pamojaa
2026-06-04 18:06:59
1
amosmboje215 :
nakubali kaka
2026-06-04 18:40:18
1
Mr.quote :
kipimo shingapi kaka
2026-06-04 15:32:36
4
Charles Sangu :
kaza kaka ndo maana ya mwanaume
2026-06-04 18:35:11
1
Mwala d jalala :
Ila kaka uhakik mana hiyo kaz naielewa pole sana
2026-06-04 17:24:38
8
shadrk :
una2eshimisha Wana ume
2026-06-04 17:01:56
3
EDSON LAMECK MGOWOLE :
Nakubali Respect kijana
2026-06-04 17:21:19
3
gody :
mungu akutie juhud
2026-06-04 17:17:51
3
Revokatus ruben :
kaka nakukubali kinoma
2026-06-04 17:02:17
3
Hassan Yanga Tz 🇹🇿🇹🇿.. :
🫡🫡🫡🫡🫡 nakumbuka nikiwa form 2 nikiwa Sina hata mia mbovu ndani yaan nilikuwa natoroka shule saa 7 mchana nakimbilia kufyatua ili nipate hela ya madaftar.. pamoja sana kaka mkubwa, hiyo kazi nimeifanya
2026-06-05 21:15:01
0
moses amos :
bila kuchoka
2026-06-04 19:16:51
1
yohana venance :
bila kuchoka
2026-06-04 17:08:12
4
given keph :
hatu poi
2026-06-04 17:12:11
3
lamadhani :
nakubali💪💪
2026-06-04 17:12:11
3
chaka one :
poah kaka
2026-06-04 16:19:28
2
Fredy :
noma sana mzeee
2026-06-04 16:58:23
3
david mecksedeck :
nakubali sana mwamba
2026-06-04 19:13:22
1
user3198142379601 :
unanikumbusha mballi sana.
2026-06-04 19:53:41
1
Blessing🧐 :
mh 😲
2026-06-04 17:54:34
1
Abraham :
bila kuchoka
2026-06-04 17:10:12
1
To see more videos from user @master.shinho, please go to the Tikwm
homepage.