@binamuupdates: PATRONI HAKUPOKEA SIMU ZETU,MWILI ULIKUTWA UMEVUJA DAMU NYINGI - Anaitwa Emily Ungele ambaye ni Baba Mzazi wa mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bukimau iliyopo Kata ya Bumilayinga,Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa,Kojak Emily Ungele (19) amefariki dunia mnamo Juni 1, 2026 baada ya kushambuliwa akiwa katika mazingira ya shule na chini ya uangalizi wa walimu na walezi wa shule hiyo. Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kuhusishwa na tuhuma za wizi wa mashine ya kunyolea nywele pamoja na redio. Baada ya tukio hilo, mwanafunzi huyo alikimbizwa katika Kituo cha Afya cha Nyororo kwa ajili ya matibabu. Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa kutoka kituoni hapo, kijana huyo alikuwa tayari ameshafariki dunia kabla ya kufikishwa katika kituo hicho cha afya. Aidha Jeshi La Polisi linawashikiria watuhumiwa wa Mauaji hayo akiwemo Mwalimu Mlezi (Patron) na Watuhumiwa Wengine ambao inadaiwa ni Wanafunzi waliohusika Na Mauaji Hayo.

Binamu Updates
Binamu Updates
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 07:44:15 GMT
319020
9094
418
219

Music

Download

Comments

sarfat654
SARFAT❤️ :
What if patron alikuwa ana husika?
2026-06-04 08:58:49
153
user2790202137359
mamy :
pole sana kaka.Uongozi Mzima wa shule uwajibishwe
2026-06-04 08:17:16
152
lay.loy5
lay loy🥰🥰 :
patron ashikilwe vizuri😭😭
2026-06-04 09:29:26
57
mm537745
mm :
muachiene Allah yy atalipa
2026-06-04 08:23:43
35
aminatha53
lomly :
NAALIVOOO FANANA NA BABA YAKEEE DUUUUUU
2026-06-04 18:25:16
16
user91182571727490
Grace💗💞 :
mmefanana na mwanao pole sana father
2026-06-04 10:29:42
71
irene010211
Irene shio :
huyo baba haon jmn
2026-06-04 08:30:59
39
celn27
celn27 :
patron alifeli wapi jaman
2026-06-04 08:53:16
20
tinamwasekaga523
Tina Mwasekaga :
Mkoa gan hii? shule za boarding Kuna nn jaman?
2026-06-04 17:23:25
6
anne27349
anne27349 :
Mungu niepushie mana najiona kabisa nikienda jela
2026-06-04 13:42:15
16
roserosemarypiu18
Rose Rosemary Pius :
eee! MUNGU waliende watoto wetu huko shuleni boarding.inauma sana.
2026-06-04 11:08:58
19
fatia.mbilinyi4
Fatia Mbilinyi :
patroni ww popote ulipo, mungu akushugulikie ww hauna utu kabisaa
2026-06-04 15:20:03
10
janerose773
jane :
mwachieni Mungu😭😭😭😭
2026-06-04 08:41:08
7
josecollection78
josecollection :
Dunia sio sehem sakama tena.
2026-06-04 10:56:22
6
apple.user8254693
Ngoe’ Rachel :
Mmmh iyo shule mhmhmhm doa ilo
2026-06-04 09:32:33
11
hosy395
Hosy :
Dah aisee😥🙆‍♀️inasikisha sana kwa kweli
2026-06-04 11:45:21
6
veroniq073
veroniq :
hii Dunia inaelekea wapi jaman
2026-06-04 14:40:01
6
edenjonh
Eden Jonh :
por sana
2026-06-04 20:31:36
0
user2790202137359
mamy :
Ni shule gani?
2026-06-04 08:17:39
5
anna51778
Anna :
hii shule ya serikali au praivet.?
2026-06-04 10:23:14
16
naila.kipako
Naila Kipako :
mungu simama na hii familia imeumizwa sana ila zaen na huyu mwalimi kwasababu haelewi wajibu wake ameshindwa kuwashilikisha walimu wrzake ili mtoto awe salama
2026-06-04 12:24:50
6
elfridaprotaz9
jelikah :
pole San jamn😭😭
2026-06-04 08:14:30
5
happymiriamelias
Kidoti :
Pole sana, #viongozi wa shule na watu wa dini mjitahid sana kutoa mafunzo ya upendo , pia wanafunzi kuzingatia Sheria zilizopo
2026-06-04 10:23:28
5
user3420686303690
user3420686303690 :
Shule gani hiiii
2026-06-04 12:33:51
7
graceminja07
graceminja :
Mungu wetu, wewe ndiwe hakimu wa haki, naamini utahukumu sawasawa na inavyomstahili.Watie nguvu wazazi hawa 🤲🧎
2026-06-04 14:33:54
5
To see more videos from user @binamuupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About