@kanikibrown: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, Urusi, leo Juni 4, 2026. Tuzo hiyo ya heshima imetolewa kwa kutambua mchango mkubwa wa Dkt. Samia katika kuimarisha diplomasia, kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi, pamoja na juhudi zake za kuendeleza elimu, usawa wa kijinsia na ushirikiano wa kimataifa. Akizungumza katika hafla hiyo, viongozi wa chuo hicho walieleza kuwa Dkt. Samia ameonyesha uongozi wenye maono na mchango wa kipekee katika kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali duniani, ikiwemo Urusi. Kutunukiwa shahada hiyo kunakuwa sehemu ya matukio muhimu katika ziara ya kitaifa ya Rais Samia nchini Urusi, inayolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali ikiwemo elimu, biashara, uwekezaji, sayansi na teknolojia. Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) hutolewa na vyuo vikuu kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa jamii, maendeleo ya taifa au dunia katika nyanja mbalimbali za maisha. #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 June 2026 08:31:19 GMT
74738
1966
259
189

Music

Download

Comments

user6802702818308
aziz mkumbo :
watanuna mpaka wapasuke safari hii. hongera Rais wetu
2026-06-04 10:44:42
28
hustlreboy
Baddest## :
My president 🤍🤍
2026-06-04 09:05:32
21
chuerkivv
The dreamz :
Hongera my president
2026-06-04 11:07:49
3
anty.shaam
Shaam :
mama samia oyeeeee 😂
2026-06-04 09:26:53
20
user4048613007282
ZAKI🇰🇪🇹🇿🇹🇷 :
God bless you your excellency. We love you rais wetu
2026-06-04 09:05:25
14
user5475936576697
Angel :
alisoma lini
2026-06-04 09:44:18
12
zuluzulu5757
zulu zulu :
respect.president.tanzania.mama.samia🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2026-06-04 09:53:16
5
bongo2631
Bongo :
😅😅😅😅 unajua nacheka kwanini?
2026-06-04 09:03:25
18
ime8090
Ime :
Big up Mama.Asante.Mungu ibariki Tanzania.
2026-06-04 09:09:45
17
mchoro_onlinetv1
Mchoro Online tv 1 :
hongeara Sana Rais wetu Mpendwa SAMIA SULUHU HASSAN🥰
2026-06-04 13:09:18
7
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
Mungu akiwa upande wako kila kitu ni yenteeeee🥰🥰🥰
2026-06-04 08:34:39
26
mr.hamad637
KING MOHAMMED :
My President
2026-06-04 09:09:18
7
bakariramadhani65
Bakari Ramadhani :
tanzania nguvu moja
2026-06-04 09:02:56
12
mariam.sappa
mariam sappa :
congratulation mama 🥰🥰🥰
2026-06-04 09:13:00
4
official_mudathirabdi
mudathir_Abdi :
hongera sana rais wetu tunakupenda na tunakukubali
2026-06-04 09:19:53
12
user5322058213380
kisia kyavo :
COME WHAT MAY MAMA SAMIA HOIYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-04 12:32:38
3
salmanfastest
team Tz :
respect my president samia
2026-06-04 09:27:41
4
user6828085473785
Hassan Abdi 1085 :
hongera sana ♥️💝♥️💝♥️
2026-06-04 09:26:17
2
kingofbike103
BaYuu :
Ilove you mama wa taifa🔥🔥
2026-06-04 09:14:58
7
aniphashadrack961
Anipha :
congratulation🥰
2026-06-04 08:57:54
9
user3817681158173
user3817681158173 :
Mashoga ya Magharibi yanavoumia acha kabisa .Hongera Sana Mama .
2026-06-04 08:46:07
21
dikwe02
dikwe :
Congratulations mama Samia Tanzania itakukumbuka kwa mipango ya maendeleo ya nchi
2026-06-04 10:23:46
6
allyjumanne705
official kasomelo :
samia oeeeeeeeee
2026-06-04 09:19:00
9
12kh52
khamismohammed822 :
Mama tunakupenda kwa kututafutia maendeleo
2026-06-04 09:05:44
11
acheni4
comrade Acheche :
Hongera Mama yetu mpendwa.
2026-06-04 09:26:24
5
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About